Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kufanya kazi nzuri ndio siri ya mafanikio yetu — Navy Kenzo

Wasanii wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreel na Aika wamesema hawajakutana na changamoto za kunyimwa msaada wa connection kutoka kwa wasanii wenzao kama wasanii wengine wanavyodai kukutana na changamoto hizo. Wakizungumza na Bongo5 kwa pamoja hivi karibuni, Aika alisema uwezo wao pamoja na juhudi, zimefanya wasaidiwe kiurahisi. “Sisi tulifanya kile kinachohitajika,” alisema Aika. “Tulienda the […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Nahreel aitaja siri ya mafanikio ya Navy Kenzo

Ili msanii aweze kufanya kazi nzuri anahitaji kuwa na timu nzuri na iliyokamilika kwenye kila idara. Ndio maana kundi la Navy Kenzo linaloundwa na couple ya producer Nahreel na Aika wamegundua hitaji la kuwa na timu, na huenda ndio sababu kuna mabadiliko makubwa katika show zao, video zao na muziki wao kwa ujumla kwasababu hivi […]

 

9 years ago

Bongo5

Navy Kenzo watumia 80% ya malipo ya show kufanya maandalizi ya show hiyo

Ili msanii afanikiwe anahitajika awe mwepesi katika kuwekeza katika kazi zake ili kujiongezea thamani ya kazi yake. Wapo wasanii wengi ambao wanajinyima kufanya starehe na mambo mengine ya kimaisha ili wawekeze katika kazi pesa wanazopata kwenye shows pamoja na vipato vingine. Nahreel amesema kuwa yeye na Aika wanaounda Navy Kenzo walitumia asilimia 80 ya pesa […]

 

10 years ago

Michuzi

MBEYA CITY COUNCIL F.C INAKARIBISHA KAMPUNI ZENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI NA CLUB YETU.

Kazi zinazotangazwa ni kama ifutazo:
I.    Kuwa mwagizaji wa vifaa mbalimbali vya club
II.    Kuuza vifaa mbalimbali vya club
Zabuni hii inafuati utekelezaji wa club kutaka kukuza mapato yake ili
iweze kujijenga msingi imala ya mapato na hivyo kuiwezesha kuendesha
shughuli zake mbalimbali.

Mwombaji anatakiwa atimize masharti yafuatayo.
1. Awe na Leseni hai ya biashara husika
2. Awe amesajiliwa kama mlipa kodi
3. Maelezo ya kampuni yaani Company profile ikieleza aina ya kampuni au
biashara unayoifanya...

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Navy Kenzo — Chelewa

Kundi la Navy Kenzo limeachia Video Mpya ya “Chelewa” Video imetaarishwa na Director Enos Olik kutoka Kenya

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo wagombewa kimataifa

navyNA SHARIFA MMASI

PRODYUZA na msanii wa Bongo Fleva, Nahreel na Aika Mareale, wanaounda kundi la Navy Kenzo, wamesema wamepokea maombi ya idadi kubwa ya wasanii wa kimataifa wanaotaka kufanya nao kazi.

Nareal alisema kwamba, maombi hayo kutoka kwa wasanii hao ambao hakutaka kuwaweka wazi kwa kuwa bado hawajakamilisha makubaliano yao yametokana na kufanya vizuri kwa video ya wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee.

Nahreel aliongeza kwamba, video ya wimbo huo imekuwa ikichezwa katika...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Navy Kenzo — Moyoni

Wimbo mpya wa kundi la Navy Kenzo unaitwa ‘Moyoni’.

 

9 years ago

Mtanzania

Navy Kenzo gumzo Nigeria

Navy KenzoNA CHRISTOPHER MSEKENA

KUNDI la Navy Kenzo linaloundwa na wapenzi, Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ na Aika Mareale ‘Aika’ limekuwa gumzo nchini Nigeria kutokana na wimbo wao wa ‘Game’ waliomshirikisha Vanessa Mdee kupigwa mara kwa mara katika redio na televisheni za huko.

Nahreel alisema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watangazaji wa vituo mbalimbali vya redio na runinga vya nchini humo kwa ajili ya mahojiano, huku wengine wakimpongeza kwa wimbo huo unaofanya vizuri nchini humo.

“Wanadai ‘audio’...

 

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani