Asia Idarous atikisa Dunia na Vazi la Taifa
Asia Idarous akiwa na vazi la Kitanzania.
.. NI BAADA YA SHOO YAKE NCHINI NIGERIA
Na Andrew Chale
MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin kufuatia kufanya vizuri hivi karibuni katika onyesho kubwa la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalum kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika Abuja, Nigeria, huku asilimia kubwa kwenye jukwaa hilo akitumia vazi lililonakshiwa alama za bendela ya Tanzania, ‘National colours Asia idarous’s...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Mrembo wa Tanzania katika mashindano ya dunia ya Miss Universe ang’ara na vazi la taifa
Miss Universe ndani ya vazi la jioni.
Mashindano ya awali (Preliminary show) ya fainali za kumtafuta mrembo wa Miss Universe Kimataifa huko jijini Doral, Miami-Marekani yamefanyika jana tarehe 21 huku jumla ya warembo 88 kutoka nchi tofauti duniani wakipita na mavazi ya Kitaifa(National Costume), ufukweni(Swim Suit) na magauni ya usiku(Evening gown). Mrembo wa Tanzania, Nale Boniface ni mmoja wa washiriki wa mashindano hayo ambapo fainali zake zitahitimishwa jumapili, januari 25 huko...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PBmwSaION7Q/VME5NKDfkJI/AAAAAAAG_Fc/Qg-jD3OLciY/s72-c/Evening%2BGown.jpg)
MREMBO WA TANZANIA KATIKA MASHINDANI YA DUNIA YA MISS UNIVERSE ANG’ARA NA VAZI LA TAIFA
9 years ago
Vijimambo11 years ago
GPLASIA IDAROUS AWASHUKU WADAU
10 years ago
VijimamboMama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo
![](http://4.bp.blogspot.com/-VQtk8j9RkuA/VIWnu89BDUI/AAAAAAAG2Ck/rsxQOelD9Nw/s640/IMG-20141208-WA0005.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-6tiVbkr80cE/VE0DJTB4wxI/AAAAAAAAGIk/xpEJ68bcW8w/s72-c/zipompa.jpg)
Siku ya msanii Kanga designed by asia idarous khamsin
![](http://1.bp.blogspot.com/-6tiVbkr80cE/VE0DJTB4wxI/AAAAAAAAGIk/xpEJ68bcW8w/s1600/zipompa.jpg)
10 years ago
Dewji Blog09 Dec
Asia Idarous afurahia tuzo ya maisha ya SFW 2014
“Tuzo ya Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, ni furaha ya maisha yangu”
Na Andrew Chale
USIKU wa Desemba 7, 2014, imekuwa ya furaha na ya kipekee kwa Mbunifu mkongwe mitindo na mavazi ndani na nje ya Tanzania, Asia Idarous Khamsin ama ‘Mama wa Mitindo Tanzania’, baada ya kuzawadiwa tuzo maalumu ya ‘Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, kutoka Swahili Fashion Week, amesema tuzo hiyo ni furaha ya Maisha yake na ataendelea kutumia wasaha wa kuinua tasnia ya...
10 years ago
Dewji Blog11 Feb
Asia Idarous azungumza na wanahabari kuhusiana na Lady in Red 2015
Asia Idarous Khamsin Fabak Fashions ikishirikiana na Fashion news Tanzania inawaletea Lady in Red 2015, katika ukumbi wa Mog Bar ( Nyumbani Lounge) siku ya Ijumaa Tarehe 13 february 2015 usiku wa kuamkia Vallentine Day kwa kiingilio cha buku kumi aka 10000 na VIP 20000 ni kwaanzia saa 2 usiku.
Leo Asia na timu yake ya maandalizi ya Lady in Red 2015 wamekutana na wanahabari Mog Bar na kuzungumzia mwenendo mzima wa Show hiyo kubwa ya kipekee ambayo hufanyika kila mwaka kwa kukuza ubunifu...
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Asia Idarous: Muziki wa mwambao asilia una mguso wake
MWANAMITINDO mkongwe na mdau wa muziki wa mwambao asilia, Asia Idarous Khamsin, amesema muziki huo una mguso wake hivyo jamii inatakiwa kuupokea na kuuenzi. Asia ambaye pia ni Mkurugenzi wa...