MREMBO WA TANZANIA KATIKA MASHINDANI YA DUNIA YA MISS UNIVERSE ANG’ARA NA VAZI LA TAIFA
Mashindano ya awali (Preliminary show)ya fainali za kumtafuta mrembo wa Miss Universe Kimataifa huko jijini Doral, Miami-Marekani yamefanyika jana tarehe 21 huku jumla ya warembo 88 kutoka nchi tofauti duniani wakipita na mavazi ya Kitaifa(National Costume), ufukweni(Swim Suit) na magauni ya usiku(Evening gown). Mrembo wa Tanzania, Nale Boniface (pichani) ni mmoja wa washiriki wa mashindano hayo ambapo fainali zake zitahitimishwa jumapili, januari 25 huko Marekani. Siku chache zikiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Mrembo wa Tanzania katika mashindano ya dunia ya Miss Universe ang’ara na vazi la taifa
Miss Universe ndani ya vazi la jioni.
Mashindano ya awali (Preliminary show) ya fainali za kumtafuta mrembo wa Miss Universe Kimataifa huko jijini Doral, Miami-Marekani yamefanyika jana tarehe 21 huku jumla ya warembo 88 kutoka nchi tofauti duniani wakipita na mavazi ya Kitaifa(National Costume), ufukweni(Swim Suit) na magauni ya usiku(Evening gown). Mrembo wa Tanzania, Nale Boniface ni mmoja wa washiriki wa mashindano hayo ambapo fainali zake zitahitimishwa jumapili, januari 25 huko...
9 years ago
Dewji Blog18 Dec
Lorraine Marriot Miss Universe Tanzania 2015 ndani ya Las Vegas na Vazi la Taifa
Lorraine Marriot (pichani) akiwa katika vazi la ubunifu la Taifa .Vazi hili limebuniwa na Adam Hassana Kijangwa kutoka Zanzibar na imeitwa ‘Angel of Ivory’ maana inaonyesha Malaika wa Tanzania anayelinda Tembo wanaouwawa kwa ujangili kwa ajili ya biashara haramu ya pembe za ndovu.
Huyu malaika wa Tanzania yupo kwa ajili ya kuwalinda Tembo na rasilimali zetu na kuwaadhibisha majangili. Nguo yake imeshonwa kwa ubunifu na umahiri mkubwa na hekaheka limebuniwa na Mwanakombo Salim. Pia kabeba...
10 years ago
Vijimambo26 Jan
VAZI LA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 KAMA NATION COSTUME
Nguo hii ndiyo Miss Universe Tanzania 201 Nale Boniface ndiyo alijitambulisha nayo kwenye mashindano yaliyofanyika FL Marekani usiku wa jumapili january 25. Vazi hili lilijulikana kama national costume jitiririshe na mavazi ya warembo nchi zingine hapa chini.
Miss RussiaMiss U.S.AMiss Venezuela Miss JamaicaMiss CanadaMiss Dominican RepublicMiss LebanonMiss IndiaMiss Great BritainMiss FinlandMiss IsraelMiss Ireland Miss South Africa
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Mrembo wetu Lorraine anavyoibeba Tanzania kwenye stage ya Miss Universe Marekani
Weekend hii itakuwa na headlines za urembo kwenye mataji mawili makubwa duniani, yani ni kwamba itashuhudiwa fainali ya Miss World ambayo itafanyika Dec 19 2015 ndani ya Sanya China, alafu siku inayofatia yani December 20 itakuwa ni fainali ya Miss Universe Marekani. Tanzania ina mwakilishi kwenye stage ya Miss Universe 2015 Marekani ambaye ni mrembo mwenye […]
The post Mrembo wetu Lorraine anavyoibeba Tanzania kwenye stage ya Miss Universe Marekani appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPLMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AONDOKA RASMI KUELEKEA JIJINI MIAMI KWENYE FAINALI ZA DUNIA
10 years ago
Dewji Blog10 Jan
Mrembo wetu akutana na miliki wa shindano kubwa la Miss Universe Donald Trump
Mmiliki wa shindano Kubwa la urembo duniani, Mr Donald Trump atembelea warembo wa Miss Universe na kujumuika nao kwa chakula cha asubuhi
Tanzania inawakilishwa na mrembo wa Miss Universe Tanzania, Nale Boniface.
Bilionea huyu alionekana kufurahia warembo na alinukuliwa akisema, This time we have such young and beautiful contentants.
NALE BONIFACE na baadhi ya warembo waliomba kupiga picha ya pamoja.
Mkurugenzi wa Miss Universe Tanzania amefurahishwa na ushindani wa Nale na amesema...
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Pitbull ang’ara uzinduzi Kombe la Dunia 2014
10 years ago
Bongo519 Jan
Selfie ya Miss Universe Israel na Miss Lebanon yazua mgogoro mkubwa wa kisiasa katika nchi zao!
11 years ago
Dewji Blog09 May
Asia Idarous atikisa Dunia na Vazi la Taifa
Asia Idarous akiwa na vazi la Kitanzania.
.. NI BAADA YA SHOO YAKE NCHINI NIGERIA
Na Andrew Chale
MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin kufuatia kufanya vizuri hivi karibuni katika onyesho kubwa la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalum kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika Abuja, Nigeria, huku asilimia kubwa kwenye jukwaa hilo akitumia vazi lililonakshiwa alama za bendela ya Tanzania, ‘National colours Asia idarous’s...