Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asia Idarous: Muziki wa mwambao asilia una mguso wake

MWANAMITINDO mkongwe na mdau wa muziki wa mwambao asilia, Asia Idarous Khamsin, amesema muziki huo una mguso wake hivyo jamii inatakiwa kuupokea na kuuenzi. Asia ambaye pia ni Mkurugenzi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ASIA IDALOUS: MUZIKI WA MWAMBAO ASILIA UNA MGUSO WAKE

Mdau akiwa kwenye red carpet Wageni wakuu kwenye red carpet…

 

11 years ago

Michuzi

Usiku wa Mwambao Asilia Aprili 19

Na Andrew Chale KUNDI la Dar Modern Taarab na Nadd Ikhwan (Malindi), wanatarajiwa kutoa burudani ya aina yake katika onesho maalumu la ‘Usiku wa Mwambao Asilia’, ndani ya ukumbi wa Travertine, Magomeni jijini Dar es Salaam, Aprili 19. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mlezi wa Heshima wa kundi la Dar Modern Taarab, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin, alisema wadau wa muziki wa taarabu watafurahia usiku huo wa Mwambao Asilia kutoka kwa wanamuziki nguli wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Salim kushuhudia Usiku wa Mwambao Asilia leo

KATIBU Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa ya Afrika (OAU, sasa Umoja wa Afrika – AU), Dk. Salim Ahmed Salim, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika onesho maalum la Usiku...

 

11 years ago

GPL

DK. SALIM KUSHUHUDIA USIKU WA MWAMBAO ASILIA JUMAMOSI HII APRIL 19

Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa ya Afrika (OAU, sasa Umoja wa Afrika - AU), Dk. Salim Ahmed Salim. Na Andrew Chale
KATIBU Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa ya Afrika (OAU, sasa Umoja wa Afrika - AU), Dk. Salim Ahmed Salim, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika onesho maalum la Usiku wa Mwambao asilia utakaosindikizwa na bendi za  Dar Modern Taarab na Nadd Ikhwan (Malindi), ndani ya ukumbi wa Travertine, Magomeni...

 

10 years ago

Bongo5

Asia wa ‘Leo’ atengeneza app ya simu ili kuwawezesha mashabiki kupata muziki wake kwa urahisi

Msanii wa muziki anayetamba na wimbo wa ‘Leo’ Asia Mjun ametengeneza app yake binafsi ‘Asia Mjun’ itayowawezesha mashabiki wa muziki wake kupata muziki wake kwa urahisi. Akizungumza jana na radio Free Africa, Asia amesema hii itawasaidia mashabiki wake kupata kazi zake pamoja na profile yake ya muziki. “Mimi kama msanii wa kwanza naweza nikasema hivyo […]

 

11 years ago

GPL

ASIA IDAROUS AWASHUKU WADAU‏

Asia Idarous akipita kwenye red Carpet .wakati wa onyesho hilo. Mbunge wa Bunge la Katiba, Mh. Maria Sarungi  akihojiwa na Deo wa Nivana wa East Afrika Television…

 

11 years ago

Dewji Blog

Asia Idarous atikisa Dunia na Vazi la Taifa

1-Asia-Idarous-akiwa-na-vazi-la-Kitanzania

Asia Idarous akiwa na vazi la Kitanzania.

.. NI BAADA YA SHOO YAKE NCHINI NIGERIA

Na Andrew Chale

MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin  kufuatia kufanya vizuri hivi karibuni katika  onyesho  kubwa la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalum kwa  ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika Abuja, Nigeria, huku asilimia kubwa kwenye jukwaa hilo akitumia vazi lililonakshiwa  alama za bendela ya Tanzania, ‘National colours Asia idarous’s...

 

10 years ago

Vijimambo

Mama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsin amepata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievment 2014

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani