Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shukurani za Asia Idarous Khamsin kwa kuiunga mkono "Lady in RED" 2014

Asia Idarous akipita kwenye red Carpet Asia Idarous akipita kwenye red carpet

MAMA wa Mitindo nchini na Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin amewashukuru wadau mbali mbali kwa kuendelea kuliunga mkono onesho la Mitindo la kila mwaka la 'Lady in Red' ambalo kwa mwaka huu limetimiza miaka 10 tokea kuanzishwa kwake huku likiwa la mafanikio kwa kuibua wanamitindo wakubwa hapa nchini.

Akizungumza Dar es salaam, katika ofisi za Fabak zilizopo Msasani jirani na Kwa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, Asia Idarous...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ASIA IDAROUS KHAMSIN ANAKULETEA RED CARPET NA USIKU WA KHANGA PARTY LEO SAFARI CARNIVAL


Na Andrew Chale
USIKU maalum wa kuenzi vazi la Khanga na magwiji wa taarab nchini 'Usiku wa Khanga Party na Spice Modern Taarab' unapotarajia kulindima usiku wa leo Novemba 29 ndani ya Ukumbi wa Safari Carnival, Mikocheni B, karibu na daraja la Kawe, na kusindikizwa na gwiji wa mipasho Khadija Kopa pamoja na Bilal Mashauzi. Kwa mujibu wa Mama wa Mitindo Bi. Asia Idarous Khamsin amebainisha kuwa kwa ushirikiano wa Fabak Fashions na Safari Carnival wameandaa usiku huo maalum kuenzi vazi la...

 

10 years ago

Michuzi

MNUSO WA KUMPONGEZA MAMA WA MITINDO ASIA IDAROUS KHAMSIN KWA KUNYAKUA TUZO YA LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD 2014

Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akipongezwa na wadau kwa kupokea tuzo  ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD katika kiota cha MOG Bar (Zamani Nyumbani Lounge) jijini Dar es salaam  Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akipokea tuzo yake ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akitoa neno la shukrani kwa Mwenyezi Mungu baada ya kupokea tuzo yake ya LIFETIME ACHIEVEMENT AWARD  Mama wa Mitindo Asya Idarous wa Khamsin akiwa haamini macho yake baada ya kutangazwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Asia Idarous azungumza na wanahabari kuhusiana na Lady in Red 2015

DSC_0006

Asia Idarous Khamsin Fabak Fashions ikishirikiana na Fashion news Tanzania inawaletea Lady in Red 2015, katika ukumbi wa Mog Bar ( Nyumbani  Lounge)  siku ya Ijumaa Tarehe 13 february 2015 usiku wa kuamkia Vallentine Day kwa kiingilio cha buku kumi aka 10000 na VIP 20000  ni kwaanzia saa 2 usiku.

Leo Asia na timu yake ya maandalizi ya Lady in Red 2015 wamekutana na wanahabari Mog Bar na kuzungumzia mwenendo mzima wa Show hiyo kubwa ya kipekee ambayo hufanyika kila mwaka kwa kukuza ubunifu...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA WA MITINDO ASiA IDAROUS-KHAMSINI AONGELEA MAANDALIZI YA LADY IN RED KESHO

Mama wa Mitindo Asia Idarius- Khamsin (pichani) akiongea na Vijimambo Blog mapema leo akizungumuzia onesho la miaka 10 la Lady in Red litakalofanyika hoteli ya Serena jijini DAr es salaam kesho Ijumaa Feb 14, 2014 maalum kwenye siku ya wapendanao maandalizi yanaelekea ukingoni hebu msikilize hapo chini

 

10 years ago

Vijimambo

Siku ya msanii Kanga designed by asia idarous khamsin

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsini akionyesha mitindo ya Khanga kweye usiku wa Msanii uliofanyika Mlimani City wiki iliyopita.

 

10 years ago

Vijimambo

Mama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo

Nguli wa mitindo Asia Idarous Khamsin amepata tuzo ya Zakhia Meghji Life Time Achievment 2014

 

10 years ago

Vijimambo

Black &White 55th Birthday Bash ya Asia Idarous Khamsin Desemba 24

 Na Andrew Chale
WABUNIFU wa Mavazi wachanga na chipukizi wamemwandalia Sherehe za kuzaliwa ya Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin, zitakazofanyika usiku wa Desemba 24, ndani ya ukumbi wa M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) huku ikisindikizwa na Spice Modern Taarab pamoja na Mini fashion show.
Katika usiku huo maalum, kiingilio ni sh 5,000, huku vazi maalum likiwa Black & White, ambapo pia wadau watakaojumuika na Mama wa Mitindo, watapata burudani kali ya muziki kutoka kundi hilo la Spice Modern...

 

10 years ago

Vijimambo

Usiku wa Black &White 55th Birthday Bash ya Asia Idarous Khamsin wafana

NA ANDREW CHALE
SHEREHE maalum ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 55 ya kuzaliwa kwa Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin ‘Black &White 55th Birthday Bash’ usiku wa Desemba 24 ulifana huku Spice Modern Taarab wakikonga nyoyo wadau mbalimbali waliojitokeza ndani ya M.O.G Bar (Zamani Nyumbani Lounge) katika tafrija hiyo.
Sherehe hizo zilizoandaliwa na Wabunifu wa mavazi wachanga na wanaochipukia nchini, uliojulikana kama ‘Black &White 55th Birthday Bash Asia Idarous Khamsin’ ambapo wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani