ASIA IDAROUS KHAMSIN ANAKULETEA RED CARPET NA KHANGA PARTY
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziASIA IDAROUS KHAMSIN ANAKULETEA RED CARPET NA USIKU WA KHANGA PARTY LEO SAFARI CARNIVAL
Na Andrew Chale
USIKU maalum wa kuenzi vazi la Khanga na magwiji wa taarab nchini 'Usiku wa Khanga Party na Spice Modern Taarab' unapotarajia kulindima usiku wa leo Novemba 29 ndani ya Ukumbi wa Safari Carnival, Mikocheni B, karibu na daraja la Kawe, na kusindikizwa na gwiji wa mipasho Khadija Kopa pamoja na Bilal Mashauzi. Kwa mujibu wa Mama wa Mitindo Bi. Asia Idarous Khamsin amebainisha kuwa kwa ushirikiano wa Fabak Fashions na Safari Carnival wameandaa usiku huo maalum kuenzi vazi la...
11 years ago
MichuziShukurani za Asia Idarous Khamsin kwa kuiunga mkono "Lady in RED" 2014
MAMA wa Mitindo nchini na Mkurugenzi wa Fabak Fashions, Asia Idarous Khamsin amewashukuru wadau mbali mbali kwa kuendelea kuliunga mkono onesho la Mitindo la kila mwaka la 'Lady in Red' ambalo kwa mwaka huu limetimiza miaka 10 tokea kuanzishwa kwake huku likiwa la mafanikio kwa kuibua wanamitindo wakubwa hapa nchini.
Akizungumza Dar es salaam, katika ofisi za Fabak zilizopo Msasani jirani na Kwa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, Asia Idarous...
10 years ago
MichuziBlack &White Bash 55th Birthday party ya Asia Idarous Khamsin Desemba 24
Katika usiku huo maalum, kiingilio ni sh 5,000, huku vazi maalum likiwa Black & White, ambapo pia wadau watakaojumuika na Mama wa Mitindo, watapata burudani kali ya muziki kutoka kundi hilo la Spice Modern...
10 years ago
Dewji Blog24 Dec
Black & White Bash 55th Birthday party ya Asia Idarous Khamsin kufanyika leo ndani ya M.O.G Bar
..Ndani ya M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) Desemba 24
Na Andrew Chale
WABUNIFU wa Mavazi wachanga na chipukizi wamemwandalia Sherehe za kuzaliwa ya Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin, zitakazofanyika usiku wa leo Desemba 24, ndani ya ukumbi wa M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) huku ikisindikizwa na Spice Modern Taarab pamoja na Mini fashion show.
Katika usiku huo maalum, kiingilio ni sh 5,000, huku vazi maalum likiwa Black & White, ambapo pia wadau watakaojumuika na Mama wa Mitindo, watapata...
10 years ago
VijimamboSiku ya msanii Kanga designed by asia idarous khamsin
10 years ago
VijimamboMama wa mitindo Asia Idarous Khamsin apata tuzo
10 years ago
VijimamboBlack &White 55th Birthday Bash ya Asia Idarous Khamsin Desemba 24
WABUNIFU wa Mavazi wachanga na chipukizi wamemwandalia Sherehe za kuzaliwa ya Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin, zitakazofanyika usiku wa Desemba 24, ndani ya ukumbi wa M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) huku ikisindikizwa na Spice Modern Taarab pamoja na Mini fashion show.
Katika usiku huo maalum, kiingilio ni sh 5,000, huku vazi maalum likiwa Black & White, ambapo pia wadau watakaojumuika na Mama wa Mitindo, watapata burudani kali ya muziki kutoka kundi hilo la Spice Modern...
10 years ago
Vijimambo25 Dec
Usiku wa Black &White 55th Birthday Bash ya Asia Idarous Khamsin wafana
SHEREHE maalum ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 55 ya kuzaliwa kwa Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin ‘Black &White 55th Birthday Bash’ usiku wa Desemba 24 ulifana huku Spice Modern Taarab wakikonga nyoyo wadau mbalimbali waliojitokeza ndani ya M.O.G Bar (Zamani Nyumbani Lounge) katika tafrija hiyo.
Sherehe hizo zilizoandaliwa na Wabunifu wa mavazi wachanga na wanaochipukia nchini, uliojulikana kama ‘Black &White 55th Birthday Bash Asia Idarous Khamsin’ ambapo wadau...