Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Babu Seya Afurahia Maisha ya Jela - TBC HABARI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BABU SEYA, PAPII...

Na Mwandishi Wetu
MAISHA ya uraiani baada ya kutoka gerezani ndiyo mzozo uliopo sasa kati ya wanamuziki mahiri nchini ambao ni baba na mwana, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, Amani limetonywa. Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wakitoka Mahakamani. Chanzo makini kimesema kuwa wawili hao wamefikia hali hiyo baada ya kila mmoja...

 

9 years ago

Mtanzania

Babu Seya atua Mahakama ya Afrika

SEYA*Awasilisha hoja tatu, alia na Serikali kuvunja sheria

*Asimulia jinsi alivyoteswa alipokuwa mahabusu

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

HATIMAYE mwanamuziki, Nguza Viking  maarufu kama Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wametua katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AFCPHR)   Arusha.

Wanamuziki hao wamekata rufaa dhidi ya adhabu waliyohukumiwa  mwaka 2004 ya kutumikia kifungo cha maisha gerezani.

Kupitia shauri lao lililowasilishwa mahakamani na kupewa namba 006/ 2015, wanaiomba...

 

11 years ago

Mwananchi

Babu Seya, Papii Kocha wamlilia JK

>Wanamuziki Nguza Viking na Papii Kocha wanaotumikia kifungo cha maisha jela, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasamehe kwa makosa waliyofanya.

 

11 years ago

GPL

MARANDO: BABU SEYA ALIBAMBIKIWA KESI

Na Elvan Stambuli
WAKILI maarufu nchini, Mabere Nyaucho Marando amesema mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ na watoto wake watatu walimbambikiwa kesi. Mabere Nyaucho Marando akiongea na waandishi wa Global Publishers (hawapo pichani). Akizungumza na waandishi wa habari wa Global Publishers katika ofisi zao zilizopo Mwenge Bamaga mwishoni mwa wiki iliyopita, Marando alisema alipitia jalada la kesi hiyo lenye...

 

11 years ago

GPL

BABU SEYA, PAPII MIAKA 10 GEREZANI

Stori: WAANDISHI WETU MASKINI! Wakati wakitimiza miaka 10 gerezani tangu walipohukumiwa Juni 25, 2004, mwanamuziki nguli wa dansi Bongo, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wametoa watu machozi kwa mara nyingine. Kwa pamoja wanamuziki nguli wa dansi Bongo, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wakitumbuiza. Wakitumbuiza...

 

11 years ago

GPL

BABU SEYA, PAPII FURAHA UPYA!

Na Elvan Stambuli na Haruni Sanchawa MWANAMUZIKI mkongwe nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ anayetumikia kifungo cha maisha jela na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa kuwanajisi watoto tisa, wana furaha upya baada ya mwanga wa kuweza kurudi uraiani kuchomoza tena, wakili wao, Mabere Nyaucho Marando amezungumza na Uwazi. Wakili Mabere Nyaucho Marando. KASORO HUKUMU YA MWANZO Akizungumza juzi jijini...

 

9 years ago

GPL

BABU SEYA,PAPII VICHEKO GEREZANI

SIKU chache baada ya mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa kueleza kuwa atawatoa gerezani wanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wanaotumikia vifungo vya maisha jela kwa kosa la kuwanajisi watoto tisa, imeelezwa kuwa wawili hao wamepata furaha na kuchekelea hivyo kuwa na matumaini mapya. Vyanzo vyetu ndani ya Gereza la Ukonga...

 

5 years ago

Michuzi

BABU SEYA NA MKEWE WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA MAJIMAJI SONGEA

Na Sixmund J. Begashe wa Makumbusho ya Taifa
Msanii maarifu Nguza Mbangu Viking maarufu kama "Babu Seya" na Mkewe Desderie P. Haule ambae pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza Tanga, wamefanya Utali wa ndani mjini Songea kwa kuitembelea Makumbusho ya Maji Maji  kwa lengo la kujifunza urithi wa historia ya Vita vya  Maji Maji vilivyo tokea miaka ya 1905 hadi 1907.
Akizungumza baada ya kuitembelea Makumbusho hiyo Bw Viking ameipongeza Makumbusho ya Taifa kwa kuhifadhi urithi huo wa...

 

9 years ago

Bongo5

Babu Seya akimbilia mahakama ya haki za binadamu ya Arusha

babu+seya+px

Mwanamuziki mkongwe nchini, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza aka Papii Kocha, ameamua kwenda kutafuta msaada kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AFCPHR) ya Arusha.

babu+seya+px

Wanamuziki hao wamekata rufaa dhidi ya adhabu waliyohukumiwa mwaka 2004 ya kutumikia kifungo cha maisha gerezani. Kupitia shauri lao lililowasilishwa mahakamani na kupewa namba 006/ 2015, wanaiomba Mahakama ya Afrika kutoa uamuzi kuwa haki zao zilivunjwa.

Kwa sababu hiyo wanaomba waachiwe...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani