BABU SEYA, PAPII...
![](http://api.ning.com:80/files/P2Q6K2rcr9FVVvAFJ2vjMhG1Yom0sih0ASwF4Q1UhRY4qziMI5h2S8*DjKGTIMvRM4iA8pI4oO9MaQ0xLB*QaUc6eeyvFWJH/seya.jpg?width=650)
Na Mwandishi Wetu MAISHA ya uraiani baada ya kutoka gerezani ndiyo mzozo uliopo sasa kati ya wanamuziki mahiri nchini ambao ni baba na mwana, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, Amani limetonywa. Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ wakitoka Mahakamani. Chanzo makini kimesema kuwa wawili hao wamefikia hali hiyo baada ya kila mmoja...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Babu Seya, Papii Kocha wamlilia JK
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8TLRwt8D9xGn18*1bDt5OwFmNqfOvBUARIHtxhNTDVtilpRYPB2wsXIEGgG5r4xNp*ADRtZfQ13OZpScoh6cx1/BABU.jpg)
BABU SEYA, PAPII MIAKA 10 GEREZANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iAT0B9wCR3DakEyiuQKfKptdoEcUxFk1ykDr9eRzV*MTY9wIF7lNBXD7JLOIPqEvMD*lxLR24PoiRTOAgN1NHdnLSPZNfQYL/babaseya.jpg?width=650)
BABU SEYA, PAPII FURAHA UPYA!
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3VZVa7mx8XxhNry38CHaGTUYBoJV2D0iKAm75ZCCstw1BdMPuKnfNc6yAwCukEF*2lwauBOcHl9Cc61TcPDG5p2/papii.gif?width=650)
BABU SEYA,PAPII VICHEKO GEREZANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/99WImdTndis1tD0JjFNjtNBDYHOPBp*Uaau5isGtVHTH3iAVgl1PGj-o-FedvmOiVVV6UPTO*JE0Vc3D1jonn8zlcBjZdwip/bauseya.jpg?width=650)
'BABU SEYA, PAPII LAZIMA WATAACHIWA HURU'
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVe6Ewjy6CHKeIdcbi55JKItICa0kD51hbd9pdaEGqKzpcQix-9SBcWacg40MNQyOwp*9XfaVB9UrkP9PbsT2Ajz/marandoo.jpg?width=650)
MARANDO: BABU SEYA ALIBAMBIKIWA KESI
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Babu Seya atua Mahakama ya Afrika
*Awasilisha hoja tatu, alia na Serikali kuvunja sheria
*Asimulia jinsi alivyoteswa alipokuwa mahabusu
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
HATIMAYE mwanamuziki, Nguza Viking maarufu kama Babu Seya na mwanae, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wametua katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika (AFCPHR) Arusha.
Wanamuziki hao wamekata rufaa dhidi ya adhabu waliyohukumiwa mwaka 2004 ya kutumikia kifungo cha maisha gerezani.
Kupitia shauri lao lililowasilishwa mahakamani na kupewa namba 006/ 2015, wanaiomba...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/aP0huqm9Vsk/default.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cHP17hb5YlE/Xu0FngeBUqI/AAAAAAALurM/whQf18wEBc0ceG98aqC6F7J02lgQPwStACLcBGAsYHQ/s72-c/20200619_102757.jpg)
BABU SEYA NA MKEWE WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA MAJIMAJI SONGEA
Msanii maarifu Nguza Mbangu Viking maarufu kama "Babu Seya" na Mkewe Desderie P. Haule ambae pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Muheza Tanga, wamefanya Utali wa ndani mjini Songea kwa kuitembelea Makumbusho ya Maji Maji kwa lengo la kujifunza urithi wa historia ya Vita vya Maji Maji vilivyo tokea miaka ya 1905 hadi 1907.
Akizungumza baada ya kuitembelea Makumbusho hiyo Bw Viking ameipongeza Makumbusho ya Taifa kwa kuhifadhi urithi huo wa...