Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jodie afurahia maisha ya ndoa na mumewe

image (1) Joddie akiwa na mpenzi wake David Nnaji .

WANANDOA Joddie ambaye ni mwanamuziki na David Nnaji mwigizaji, wote wakiwa raia wa Nigeria, hivi sasa ‘wametoweka’ katika macho ya vyombo vya habari ambapo wameelekeza nadhari yao katika maisha yao binafsi nyumbani kwao.

image (2)Hivi sasa Jodie ambaye ni mjamzito yuko bize akihangaikia masuala ya familia yake huku wakisubiri kuwasili kwa kichanga chao cha kwanza mwaka kesho (2016).

Wawili hao walionekana majuzi katika vyombo vya habari baada ya kutoa picha...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

THEA AFURAHIA MAISHA NJE YA NDOA

Brithon Masalu
Kutoka moyoni! Staa wa sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka kuwa anafurahia maisha anayoishi bila ndoa kwani anafanya mambo kwa uhuru na hana msongo tofauti alivyokuwa akiishi kwenye ndoa na aliyekuwa mumewe, Michael Sangu ‘Mike’. Staa wa sinema za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’. Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu wikiendi iliyopita, Thea ambaye...

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Jose Chameleone afurahia maisha Marekani

joseBAADA ya wasanii wengi kukosa muda wa kuwa karibu na familia zao, msanii tajiri Afrika Mashariki, Jose Chameleone, ameonyesha

mfano bora kwa kusafiri na familia yake ya watoto watatu na mke, Daniella katika ziara ya onyesho lake jijini New York, nchini Marekani.

Mkali huyo wa wimbo wa ‘Tubonge’, alitumia fursa hiyo kuzunguka mitaa mbalimbali ya jiji hilo huku akifurahi na kupiga picha na familia yake kisha kuzituma katika mitandao yake ya kijamii.

Haya wasanii wetu wakati ni huu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Asia Idarous afurahia tuzo ya maisha ya SFW 2014

IMG_4181

 

“Tuzo ya Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, ni furaha ya maisha yangu”

Na Andrew Chale

USIKU wa Desemba 7, 2014, imekuwa ya furaha na ya kipekee kwa Mbunifu  mkongwe mitindo na mavazi ndani na nje ya Tanzania, Asia Idarous Khamsin ama ‘Mama wa Mitindo Tanzania’, baada ya kuzawadiwa tuzo maalumu  ya  ‘Life Time Achievement Swahili Fashion Week 2014, kutoka Swahili  Fashion Week, amesema tuzo hiyo ni furaha ya Maisha yake na ataendelea kutumia wasaha wa kuinua tasnia ya...

 

10 years ago

GPL

MKE AANGUA KILIO KANISANI MUMEWE AKIFUNGA NDOA YA PILI

Shani Ramadhani na Harun Sanchawa
DHAMBI? Neema Pangani, mkazi wa jijini Dar alijikuta akiangua kilio kanisani wakati mumewe Daniel Mhina alipokuwa anamuoa mke wa pili, Irene Lema, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Neema Pangani, akilia baada ya mumewe kuoa mke wa pili. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita katika Kanisa la Evangelistic Assemblies of God (EAGT) Bonde la Baraka lililopo maeneo ya Alimaua Kijitonyama...

 

11 years ago

GPL

PENDO WA MAISHA PLUS ATAMANI NDOA!

Na Brighton Masalu
MSHIRIKI wa Shindano la Maisha Plus Season 11 aliye pia msanii wa filamu za Kibongo, Upendo Mushi ‘Pendo wa Maisha Plus’ amefunguka kuwa kwa sasa anatamani sana kuingia katika maisha ya ndoa licha ya mchumba wake kuchelewa kuchukua uamuzi huo. Upendo Mushi ‘Pendo wa Maisha Plus’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni ndani ya Viwanja vya Leaders Club jijini Dar, Pendo ambaye...

 

5 years ago

BBCSwahili

Jinsi ndoa ya ''karaha 'ilivyomsaidia kuyaokoa maisha ya maelfu ya watu

Uma alimtunza mume wake mgonjwa hadi alipokufa. Na sasa anawasaidia Wahindi wenzake kupata matibabu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani