PENDO WA MAISHA PLUS ATAMANI NDOA!
![](http://api.ning.com:80/files/bTQ94SQ5wOI*DRuNlM0NAsGr5-9nZEkKX7x9M*hqYFceFIyYrk5fhM3*bwLsKZLPzLvomwDKovlHt6qeL*1GGWcgza4ALjmb/pendo.jpg?width=650)
Na Brighton Masalu MSHIRIKI wa Shindano la Maisha Plus Season 11 aliye pia msanii wa filamu za Kibongo, Upendo Mushi ‘Pendo wa Maisha Plus’ amefunguka kuwa kwa sasa anatamani sana kuingia katika maisha ya ndoa licha ya mchumba wake kuchelewa kuchukua uamuzi huo. Upendo Mushi ‘Pendo wa Maisha Plus’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni ndani ya Viwanja vya Leaders Club jijini Dar, Pendo ambaye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND04JlrIxRAShD3P*h8Hmg3ZPiOKWdYz-AS02TbOLaY2lx62bqRegZan02C8ruiGogB1wb3YTKyBj1VqWhxoF0QB/PENDO4.jpg)
PENDO MAISHA PLUS ‘ADATA’ MSIBANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwnZUd79YSRowrAiZwK2yXsEs26bnRfcOQ4ZKv2yzy6moor1pJ0k5z*-l4rEa*I9TGS4VQmQKSA8lhEPZvEt9Tqn/SHIJA.jpg?width=650)
SHIJA SASA ATAMANI NDOA NA WASTARA
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Jodie afurahia maisha ya ndoa na mumewe
Joddie akiwa na mpenzi wake David Nnaji .
WANANDOA Joddie ambaye ni mwanamuziki na David Nnaji mwigizaji, wote wakiwa raia wa Nigeria, hivi sasa ‘wametoweka’ katika macho ya vyombo vya habari ambapo wameelekeza nadhari yao katika maisha yao binafsi nyumbani kwao.
Hivi sasa Jodie ambaye ni mjamzito yuko bize akihangaikia masuala ya familia yake huku wakisubiri kuwasili kwa kichanga chao cha kwanza mwaka kesho (2016).
Wawili hao walionekana majuzi katika vyombo vya habari baada ya kutoa picha...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ja6gu*i0lR5B4hORtV5ZdhXZGlMbK47g1an-AsQWNDmukear9dG2u5xy0-KiOr6Fqyj8GfaLDhUKSCYHij6urv9cjRJgdq-*/8989.gif)
THEA AFURAHIA MAISHA NJE YA NDOA
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Jinsi ndoa ya ''karaha 'ilivyomsaidia kuyaokoa maisha ya maelfu ya watu
10 years ago
Habarileo26 Feb
Hoteli yahusishwa utekaji wa albino Pendo
MTOTO Pendo Emmanuel (4) mwenye ulemavu wa ngozi, aliyetekwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao wilayani Kwimba, imegundulika alihifadhiwa katika hoteli moja ya kifahari jijini Mwanza, kabla ya kukabidhiwa kwa watu wengine, walioondoka naye kusikojulikana.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoaYF5iwi91*fFWtXRyu8Sa9mK3lBOxWNL9QZDVYyfCHmUWZdVbZQBiYQJC-qYTlvLvFBtkRTyNHu1jt2aTh0J78/pendo.jpg)
MAJI MACHAFU YAMLAZA PENDO KITANDANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdgAejj30uSqnchC4FROh5r8iurhSu4Q*DZR03DTgEcchnQux1G6rrQoXeW5Kj-TzqsWWcd8iApvBvmRxiYAZhiS/sex_spot_couple_balcony.jpg?width=650)
MWANAUME NDIYE MWENYE NAFASI YA KULINDA PENDO!
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/C7ACkOvXFBM/default.jpg)