MWANAUME NDIYE MWENYE NAFASI YA KULINDA PENDO!
![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdgAejj30uSqnchC4FROh5r8iurhSu4Q*DZR03DTgEcchnQux1G6rrQoXeW5Kj-TzqsWWcd8iApvBvmRxiYAZhiS/sex_spot_couple_balcony.jpg?width=650)
HABARI wadau wa safu yetu, tupo tena pamoja katika kujuzana jinsi gani maisha ya kimapenzi yalivyo. Leo nitakuwa tofauti kidogo na mara zote ambazo nimekuwa nikiwasiliana nanyi, kwani mara nyingi nimekuwa nikizungumzia kuhusu nafasi ya mwanamke, kuwa ili iwe hivi, basi afanye hivi na kadhalika. Maandiko mengi yamekuwa ni kama ya kuonyesha kuwa mwanamke ndiye mwenye dhamana kubwa ya kuamua juu ya penzi au ndoa aliyomo. Ingawa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Mwanaume mwenye maumbile ya ajabu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-Dfm8IJAaMBp-48NBGqQLE18phkVmsXwGrTkQMUtes3oRZpQ853j1yHbomPESxa8QkncR23dKeR2UmA3mvmghri5/micah3.jpg)
MWANAUME MWENYE ‘HIPS’ NA SHEPU LA KIDADA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3DtnypFvu9EBNRU09fff6ngFMzjjsbDURB0PQT0jJLC5dAD6GRfuMxNlweTdvfhE5ocqsxiDaKyzWUT2KvHOfg3gTeHRi6cJ/Love.jpg?width=650)
WEWE NDIYE MWENYE MPINI WA NDOA YAKO
11 years ago
Bongo510 Aug
Rihanna awadiss Drake na Chris Brown, asema Eminem ndiye mwanaume wa kweli
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Wema Sepetu Amsifia Chaz Baba Kuwa Ndiye Aliyekuwa Mwanaume wa Kweli!
Mrembo na Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu amekanusha kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chaz Baba japo amedai kuwa muimbaji huyo wa muziki wa band ndiye mwanaume wa pekee ambaye hakuwa na masuala ya kiswazi baada ya kuachana.
Wema ameiambia U Heard ya Clouds FM Jumatano hii kuwa Chaz Baba kwa sasa ni mshkaji wake na hata alipooa alimchangia pesa.
“Chaz Baba alikuwa ni msikaji wangu naweza kusema ndio boyfriend pekee asiye na mambo ya Kiswahili,” amesema. “Tulizinguana tukafika pointi...
10 years ago
Bongo515 Jan
Picha: Mwanaume mwenye hips na shape la hatari kuwazidi Kim K, Nicki Minaj na Masogange!
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-0oyraK-hA_o/VLf7HH838HI/AAAAAAAAmhs/zCIO5q43hOc/s72-c/Micah-1.jpg)
Mwanaume Mwenye Hips Kubwa na za Kuvutia jitiririshe kuona picha zake na takubari mwenyewe
![](http://4.bp.blogspot.com/-0oyraK-hA_o/VLf7HH838HI/AAAAAAAAmhs/zCIO5q43hOc/s1600/Micah-1.jpg)
I know a lot of women out there will be super jealous of this...
9 years ago
Dewji Blog24 Aug
Mtoto wa miaka 9 aozeshwa na baba yake kwa mwanaume mwenye miaka 60
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/Untitled9.jpg)
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akiwa amepozi.
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo, Ruthi Mashambo (kulia).
Mtoto Ester Meliyo Lukumay (9) akizungumza jana na Msaidizi wa Kisheria wa Kataa ya Makuyuni Kijiji cha Makuyuni Wilaya ya Monduli Mkoa wa Arusha na Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Kataa hiyo,...
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...