Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rihanna awadiss Drake na Chris Brown, asema Eminem ndiye mwanaume wa kweli

Rihanna anahisi Drake na Chris Brown bado wana harufu ya maziwa ya mama zao, na Eminem ndiye mwanaume halisi. Rihanna, 26, yupo kwenye ziara ya pamoja na Eminem, 41, Monster na kwa mujibu waHollywoodLife.com, Riri anapenda kupanda jukwaani na Eminem na anadai kuwa ni muda mrefu tangu atumbuize na ‘mshindi wa kweli’. Kwa mujibu wa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Rihanna; Chris Brown ataingia Australia ?

Chris Brown ameonywa kuwa huenda asipewe ruhusa ya kuingia Australia kutokana na rekodi yake ya kumpiga mpenzi wake Rihanna.

 

9 years ago

Mtanzania

Rihanna: Naweza kubadilisha maisha ya Chris Brown

RihannaNEY YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki nchini Marekani, Robyn Fenty ‘Rihanna’, amesema kuwa yeye ni mtu pekee anayeweza kumbadilisha, Chris Brown.

Awali wawili hao walikuwa wapenzi, walipoachana Chris akadondokea kwa Karrueche Tran, hata hivyo hakudumu naye baada ya Chris kuletewa mtoto na mpenzi wake wa zamani, Nia Guzman.

Kutokana na kuyumba huku katika mapenzi, Rihanna ameshindwa kuzuia hisia zake na kusema kuwa yeye ndiye mwanamke pekee anayeweza kumbadilisha msanii huyo.

“Nilimzoea sana...

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Drake na Chris Brown wamaliza beef yao, waonekana studio pamoja

Miaka michache iliyopita rapper Drake na Chris Brown walikua ni maadui wasiopikika chungu kimoja kutokana na penzi la mtoto Rihanna ambaye amewahi kuwa mpenzi wa kila mmoja wao. Picha mpya inayowaonesha Drake na Chris Brown wakiwa studio ni kiashirio tosha cha kumalizika kwa beef yao iliyopelekea ugomvi uliotokea kwenye club moja mwaka 2012. Kwa mujibu […]

 

10 years ago

Bongo5

Kesi ya kumdunda Rihanna yamsababisha Chris Brown aahirishe ziara yake

Pamoja na kupita miaka sita tangu Chris Brown ashtakiwe kwa kosa la kumpiga Rihanna, bado kesi hiyo imeendelea kumgharimu muimbaji huyo wa ‘Loyal’ Chris amelazimika kuahirisha ziara yake ya muziki iliyopewa jina ‘Between The Sheets’ iliyokuwa ianze Jumanne hii ili kumalizia saa 100 zilizosalia kwenye adhabu aliyopewa ya kufanya kazi za kijamii kwa saa 1,000. […]

 

11 years ago

Bongo5

Producer aliyewakutanisha Chris Brown na Drake na kumaliza beef yao aeleza jinsi ilivyokuwa

Kama unakumbuka siku chache zilizopita picha iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha Chris Brown na Drake wakiwa studio pamoja, ndio ilikuwa ishara ya kwanza ya kuzikwa kwa beef ya mastaa hao iliyodumu kwa muda mrefu. Producer aliyeshiriki kwa sehemu kubwa kuwapatanisha ma ex hao wa Rihanna siku hiyo aitwaye Mally Mall, amesema kuwa aliwaita Drake […]

 

11 years ago

Bongo5

Video: Drake na Chris Brown waigiza pamoja kwenye ‘skit’ ya tuzo za ESPY 2014

Siku chache zilizopita Chris Brown na Drake walimaliza tofauti zao zilizodumu kwa muda mrefu, na kushare picha wakiwa studio pamoja. Ishara nyingine ya kuzika kabisa beef yao imeonekana jana (July 16) kwenye tukio la tuzo za michezo ‘2014 ESPY Award’ zilizofanyika The Nokia Theatre, Los Angeles, Marekani ambapo Drake na Chris Brown wameigiza kipande kidogo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani