Producer aliyewakutanisha Chris Brown na Drake na kumaliza beef yao aeleza jinsi ilivyokuwa
Kama unakumbuka siku chache zilizopita picha iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha Chris Brown na Drake wakiwa studio pamoja, ndio ilikuwa ishara ya kwanza ya kuzikwa kwa beef ya mastaa hao iliyodumu kwa muda mrefu. Producer aliyeshiriki kwa sehemu kubwa kuwapatanisha ma ex hao wa Rihanna siku hiyo aitwaye Mally Mall, amesema kuwa aliwaita Drake […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo512 Jul
Picha: Drake na Chris Brown wamaliza beef yao, waonekana studio pamoja
11 years ago
Bongo510 Aug
Rihanna awadiss Drake na Chris Brown, asema Eminem ndiye mwanaume wa kweli
9 years ago
Bongo504 Dec
Producer wa ‘Speak With Ur Body’ ya AY, Riley na wa ‘Touch Me’ Zaire, wametengeneza ngoma hii ya mixtape mpya ya Chris Brown

Producer wa hit single ya AY ‘Speak With Your Body’ aliyowashirikisha wamarekani, Romeo na Lamyia Good, Riley pamoja na yule aliyetayarisha ngoma yake ‘Touch Me’ aliyomshirikisha Sean Kingston, Zaire Koalo wamechangia wimbo mmoja kwenye mixtape mpya ya Chris Brown.
Mixtape hiyo yenye nyimbo 34, Before The Party ilitoka kwa kushtukiza siku kadhaa zilizopita. Riley na Zaire wametayarisha wimbo uitwao Second Hand Love’ uliomo kwenye mixtape hiyo.
“Check out @chrisbrownofficial new project...
11 years ago
Bongo517 Jul
Video: Drake na Chris Brown waigiza pamoja kwenye ‘skit’ ya tuzo za ESPY 2014
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Pata picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wanatokea kama machifu wa Nigeria.. (+Pichaz)
Ubunifu wa michoro umekuwa maarufu sana siku hizi na ni kitu kinachovutia… najua hawa mastaa wote hawajawahi kuonekana wakiwa na mavazi ya kiafrika, pata picha eti Chris Brown anatupia nguo za kiafrika itakuwaje??!! Hapa nimepata picha za ubunifu ambazo wanaonekana Drake, Jay Z, P Diddy, Rick Ross na Chris Brown kwenye muonekano wa nguo ambazo mara […]
The post Pata picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wanatokea kama machifu wa Nigeria.. (+Pichaz) appeared first on...
10 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Rihanna akava jarida la Vanity Fair, aeleza kwanini alirudiana na Chris Brown licha ya kumjeruhi kwa kipigo
10 years ago
Bongo512 Nov
Chris Brown na Trey Songz watangaza kuanza tour yao ya pamoja January, 2015