Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Rihanna akava jarida la Vanity Fair, aeleza kwanini alirudiana na Chris Brown licha ya kumjeruhi kwa kipigo

Rihanna amekava jarida la Vanity Fair toleo la November 2015 na kuzungumza mambo kibao ukiwemo uhusiano wake na Chris Brown. “Nilikuwa msichana yule,” alisema Rihanna kueleza kwanini alimrudia Chris Brown licha ya kumjeruhi vibaya mwaka 2009. “Msichana yule aliyehisi maumivu makali kama uhusiano huu ulivyokuwa, pengine watu wengine wameumbwa kuwa na nguvu kuliko wengine. Pengine […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Lupita Nyong’o akava jarida la Glamour (Woman of the Year 2014)

Muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o na mshindi wa tuzo za Oscar kutokana kuigiza filamu ya 12 Years A Slave, amekava jarida la Glamour katika toleo lake la ‘Woman of the Year 2014. Jarida hilo limeandika: In the past year, the 31-year-old star’s life has unfolded like a fairy tale. In a series of breathtaking coups, […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Rihanna; Chris Brown ataingia Australia ?

Chris Brown ameonywa kuwa huenda asipewe ruhusa ya kuingia Australia kutokana na rekodi yake ya kumpiga mpenzi wake Rihanna.

 

9 years ago

Mtanzania

Rihanna: Naweza kubadilisha maisha ya Chris Brown

RihannaNEY YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki nchini Marekani, Robyn Fenty ‘Rihanna’, amesema kuwa yeye ni mtu pekee anayeweza kumbadilisha, Chris Brown.

Awali wawili hao walikuwa wapenzi, walipoachana Chris akadondokea kwa Karrueche Tran, hata hivyo hakudumu naye baada ya Chris kuletewa mtoto na mpenzi wake wa zamani, Nia Guzman.

Kutokana na kuyumba huku katika mapenzi, Rihanna ameshindwa kuzuia hisia zake na kusema kuwa yeye ndiye mwanamke pekee anayeweza kumbadilisha msanii huyo.

“Nilimzoea sana...

 

10 years ago

Bongo5

Kesi ya kumdunda Rihanna yamsababisha Chris Brown aahirishe ziara yake

Pamoja na kupita miaka sita tangu Chris Brown ashtakiwe kwa kosa la kumpiga Rihanna, bado kesi hiyo imeendelea kumgharimu muimbaji huyo wa ‘Loyal’ Chris amelazimika kuahirisha ziara yake ya muziki iliyopewa jina ‘Between The Sheets’ iliyokuwa ianze Jumanne hii ili kumalizia saa 100 zilizosalia kwenye adhabu aliyopewa ya kufanya kazi za kijamii kwa saa 1,000. […]

 

11 years ago

Bongo5

Rihanna awadiss Drake na Chris Brown, asema Eminem ndiye mwanaume wa kweli

Rihanna anahisi Drake na Chris Brown bado wana harufu ya maziwa ya mama zao, na Eminem ndiye mwanaume halisi. Rihanna, 26, yupo kwenye ziara ya pamoja na Eminem, 41, Monster na kwa mujibu waHollywoodLife.com, Riri anapenda kupanda jukwaani na Eminem na anadai kuwa ni muda mrefu tangu atumbuize na ‘mshindi wa kweli’. Kwa mujibu wa […]

 

11 years ago

Bongo5

Mpenzi wa Chris Brown, Karreuche Tran akili kuwa anapigana vita kali na Rihanna

Mpenzi wa on/off wa star wa R&B Chris Brown, Karreuche Tran amezungumzia jinsi mahusiano yake na Breezy yalivyo na changamoto nyingi hasa kutokana na ex wake hit maker wa ‘Diamonds’ Rihanna. Jina la Karreuche limekuwa katika vichwa vingi vya habari miaka ya karibuni kutokana na kuingia kwenye maisha ya star huyo. Karrueche amesema muda mwingi […]

 

11 years ago

Bongo5

Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!

Button ya uhusiano wa mwimbaji Chris Brown na mrembo wake Karrueche Tran imewekwa ‘Off’ kwa mara nyingine na sababu ni Rihanna. Siku chache zilizopita kuna shabiki mmoja alipost picha ya Chris Brown akiwa kitandani na Rihanna na kumtag Breezy ambaye naye ali ‘like’, kwa mujibu wa TMZ hiyo ni moja ya sababu ya Karrueche ku’switch […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani