Kesi ya kumdunda Rihanna yamsababisha Chris Brown aahirishe ziara yake
Pamoja na kupita miaka sita tangu Chris Brown ashtakiwe kwa kosa la kumpiga Rihanna, bado kesi hiyo imeendelea kumgharimu muimbaji huyo wa ‘Loyal’ Chris amelazimika kuahirisha ziara yake ya muziki iliyopewa jina ‘Between The Sheets’ iliyokuwa ianze Jumanne hii ili kumalizia saa 100 zilizosalia kwenye adhabu aliyopewa ya kufanya kazi za kijamii kwa saa 1,000. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili27 Sep
Rihanna; Chris Brown ataingia Australia ?
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Rihanna: Naweza kubadilisha maisha ya Chris Brown
NEY YORK, MAREKANI
MSANII wa muziki nchini Marekani, Robyn Fenty ‘Rihanna’, amesema kuwa yeye ni mtu pekee anayeweza kumbadilisha, Chris Brown.
Awali wawili hao walikuwa wapenzi, walipoachana Chris akadondokea kwa Karrueche Tran, hata hivyo hakudumu naye baada ya Chris kuletewa mtoto na mpenzi wake wa zamani, Nia Guzman.
Kutokana na kuyumba huku katika mapenzi, Rihanna ameshindwa kuzuia hisia zake na kusema kuwa yeye ndiye mwanamke pekee anayeweza kumbadilisha msanii huyo.
“Nilimzoea sana...
10 years ago
GPL24 Feb
11 years ago
Bongo510 Aug
Rihanna awadiss Drake na Chris Brown, asema Eminem ndiye mwanaume wa kweli
11 years ago
Bongo515 Jul
Mpenzi wa Chris Brown, Karreuche Tran akili kuwa anapigana vita kali na Rihanna
11 years ago
Bongo502 Aug
Chris Brown apigwa chini tena na mpenzi wake Karrueche Tran kisa Rihanna!
9 years ago
Bongo505 Nov
Alikiba kufanya kazi na ‘choreographer’ wa Rihanna, Justin Bieber, Ciara, Nicki Minaj, Chris Brown, Ne-Yo etc!
![Kiba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Kiba-300x194.jpg)
Alikiba atafanya kazi na mwalimu wa dance (choreographer) maarufu zaidi nchini Marekani na ambaye CV yake inatisha, Oththan Burnside. Ni Burnside mwenyewe ndiye aliyetangaza habari hiyo njema kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Akiweka picha ya hitmaker huyo wa ‘Mwana’, Burnside ameandika, “Excited to be working with @officialalikiba #EastAfrica #KingKiba your in great hands! #OtheezyCreatedIt #CreativeDirector #Choreographer S/O @msaagency @Brandonlouisla!!! #MSASquad #MSAFAM thank you...
9 years ago
Bongo507 Nov
Alikiba atua L.A kushoot video mpya, amtumia choreographer wa Chris Brown, Rihanna, Nicki Minaj na mastaa wengine
![12224510_1076638059047429_2140552011_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12224510_1076638059047429_2140552011_n-300x194.jpg)
Alikiba yupo jijini Los Angeles, Marekani alikoenda kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Lupela.’
Alikiba akiwa na Oththan Burnside (anayeonesha alama ya peace) na dancers kwenye set ya video hiyo jijini Los Angeles, California
Kiba anamtumia choreographer maarufu zaidi nchini humo, Oththan Burnside. Amepost video kwenye Instagram na kuandika, “In L.A And We Are Getting Ready For My Upcoming New Video . In The Makeup Room With My Leading Lady @aliya_janell #kingkiba.”
ALIKIBA KUFANYA KAZI NA...