Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Alikiba kufanya kazi na ‘choreographer’ wa Rihanna, Justin Bieber, Ciara, Nicki Minaj, Chris Brown, Ne-Yo etc!

Kiba

Alikiba atafanya kazi na mwalimu wa dance (choreographer) maarufu zaidi nchini Marekani na ambaye CV yake inatisha, Oththan Burnside. Ni Burnside mwenyewe ndiye aliyetangaza habari hiyo njema kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Kiba

Akiweka picha ya hitmaker huyo wa ‘Mwana’, Burnside ameandika, “Excited to be working with @officialalikiba #EastAfrica #KingKiba your in great hands! #OtheezyCreatedIt #CreativeDirector #Choreographer S/O @msaagency @Brandonlouisla!!! #MSASquad #MSAFAM thank you...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Alikiba atua L.A kushoot video mpya, amtumia choreographer wa Chris Brown, Rihanna, Nicki Minaj na mastaa wengine

12224510_1076638059047429_2140552011_n

Alikiba yupo jijini Los Angeles, Marekani alikoenda kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Lupela.’

12224510_1076638059047429_2140552011_n
Alikiba akiwa na Oththan Burnside (anayeonesha alama ya peace) na dancers kwenye set ya video hiyo jijini Los Angeles, California

Kiba anamtumia choreographer maarufu zaidi nchini humo, Oththan Burnside. Amepost video kwenye Instagram na kuandika, “In L.A And We Are Getting Ready For My Upcoming New Video . In The Makeup Room With My Leading Lady @aliya_janell #kingkiba.”
ALIKIBA KUFANYA KAZI NA...

 

10 years ago

GPL

CHRIS BROWN, NICKI MINAJ VINARA WA KUTAJWA TUZO ZA BET 2015

Chris Brown na Nicki Minaj wote wanawania tuzo katika vipengele 6. WANAMUZIKI Chris Brown na Nicki Minaj wameongoza kwa kutajwa mara nyingi katika vipengele vya kuwania Tuzo za BET 2015 kwa kila mmoja kutajwa mara sita. Nicki Minaj. Katika kipengele cha video bora ya mwaka, Brown ametajwa mara mbili kwa video zake za Loyal na New Flame.
Minaj naye yupo juu akitajwa katika vipengele sita kikiwemo cha video bora ya mwaka kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Meek Mill Ft Nicki Minaj & Chris Brown – All Eyes on You

Rapper Meek Mill ametoa video mpya ya wimbo “All Eyes on You” amewashirikiksha girlfriend wake Nicki Minaj na RnB Superstar Chris Brown, wimbo huu ulifanya vizuri sana kwenye chati za Billboard. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Rihanna; Chris Brown ataingia Australia ?

Chris Brown ameonywa kuwa huenda asipewe ruhusa ya kuingia Australia kutokana na rekodi yake ya kumpiga mpenzi wake Rihanna.

 

9 years ago

Mtanzania

Rihanna: Naweza kubadilisha maisha ya Chris Brown

RihannaNEY YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki nchini Marekani, Robyn Fenty ‘Rihanna’, amesema kuwa yeye ni mtu pekee anayeweza kumbadilisha, Chris Brown.

Awali wawili hao walikuwa wapenzi, walipoachana Chris akadondokea kwa Karrueche Tran, hata hivyo hakudumu naye baada ya Chris kuletewa mtoto na mpenzi wake wa zamani, Nia Guzman.

Kutokana na kuyumba huku katika mapenzi, Rihanna ameshindwa kuzuia hisia zake na kusema kuwa yeye ndiye mwanamke pekee anayeweza kumbadilisha msanii huyo.

“Nilimzoea sana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani