CHRIS BROWN, NICKI MINAJ VINARA WA KUTAJWA TUZO ZA BET 2015
![](http://api.ning.com:80/files/vMQ5RJcyKDD7urhYo4JSPVwk*si*eAIlmdfP7brze0lkSUTEM5*OJjgR9p-3yPFTe2jS5qHFkUsaKZ5zBKYcCP9egraTYxBO/brown_minaj.jpg?width=650)
Chris Brown na Nicki Minaj wote wanawania tuzo katika vipengele 6. WANAMUZIKI Chris Brown na Nicki Minaj wameongoza kwa kutajwa mara nyingi katika vipengele vya kuwania Tuzo za BET 2015 kwa kila mmoja kutajwa mara sita. Nicki Minaj. Katika kipengele cha video bora ya mwaka, Brown ametajwa mara mbili kwa video zake za Loyal na New Flame. Minaj naye yupo juu akitajwa katika vipengele sita kikiwemo cha video bora ya mwaka kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo528 Jul
Video: Meek Mill Ft Nicki Minaj & Chris Brown – All Eyes on You
9 years ago
Bongo505 Nov
Alikiba kufanya kazi na ‘choreographer’ wa Rihanna, Justin Bieber, Ciara, Nicki Minaj, Chris Brown, Ne-Yo etc!
![Kiba](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Kiba-300x194.jpg)
Alikiba atafanya kazi na mwalimu wa dance (choreographer) maarufu zaidi nchini Marekani na ambaye CV yake inatisha, Oththan Burnside. Ni Burnside mwenyewe ndiye aliyetangaza habari hiyo njema kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Akiweka picha ya hitmaker huyo wa ‘Mwana’, Burnside ameandika, “Excited to be working with @officialalikiba #EastAfrica #KingKiba your in great hands! #OtheezyCreatedIt #CreativeDirector #Choreographer S/O @msaagency @Brandonlouisla!!! #MSASquad #MSAFAM thank you...
9 years ago
Bongo507 Nov
Alikiba atua L.A kushoot video mpya, amtumia choreographer wa Chris Brown, Rihanna, Nicki Minaj na mastaa wengine
![12224510_1076638059047429_2140552011_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12224510_1076638059047429_2140552011_n-300x194.jpg)
Alikiba yupo jijini Los Angeles, Marekani alikoenda kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Lupela.’
Alikiba akiwa na Oththan Burnside (anayeonesha alama ya peace) na dancers kwenye set ya video hiyo jijini Los Angeles, California
Kiba anamtumia choreographer maarufu zaidi nchini humo, Oththan Burnside. Amepost video kwenye Instagram na kuandika, “In L.A And We Are Getting Ready For My Upcoming New Video . In The Makeup Room With My Leading Lady @aliya_janell #kingkiba.”
ALIKIBA KUFANYA KAZI NA...
9 years ago
Vijimambo16 Sep
WANAOGAMBANIA TUZO ZA BET HAWA HAPA AMBAO NI PAMOJA NA BRAKE, BIG SEAN, NICKI MINAJ
![](http://theboombox.com/files/2015/09/Drake-BigSean-NickiMinaj-630x420.jpg)
Drake is feeling blessed right now. The Toronto rap star nabbed a whopping 12 nominations for the 2015 BET Hip-Hop Awards. Fellow rhymers Big Sean and Nicki Minaj also garnered some major nods as well.
Drizzy is a nominee in categories including Album of the Year (If You’re Reading This It’s Too Late), Hustler of the Year, Lyricist of the Year and Sweet 16 for his guest verse on Big Sean’s “Blessings.”
Speaking of Sean Don, the Detroit rhymer...
11 years ago
Bongo520 Jul
‘Iggy Azalea aliumizwa na maneno ya Nicki Minaj kwenye tuzo za BET’ asema boyfriend wake
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-XOgJMixpBQ4/VZLq80I4uGI/AAAAAAAACV4/5uhGg-4ISCo/s72-c/chris-brown-karrueche-tran-bet-awards-2015-doesnt-want-see-his-ass-gty-lead.jpg)
CHRIS BROWN AVOIDED KARRUECHE TRAN ON RED CARPET AT BET AWARDS 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-XOgJMixpBQ4/VZLq80I4uGI/AAAAAAAACV4/5uhGg-4ISCo/s400/chris-brown-karrueche-tran-bet-awards-2015-doesnt-want-see-his-ass-gty-lead.jpg)
Karrueche Tran debuted a surprising — yet stunning! — blonde bombshell look at the 2015 Bet Awards on June 28 . But that didn’t mean she wanted to give her ex, Chris Brown, a chance to see what he’s missing.It was almost unavoidable! Karrueche Tran, 27, could have easily run into Chris Brown, 26, at the BET Awards. While both were in attendance at the big awards show, the former flames steered clear of a an awkward encounter. HollywoodLife.com was on the scene, and has the EXCLUSIVE scoop on...
10 years ago
BBCSwahili29 Jun
Sam Smith na Nicki Minaj wang'ara BET
11 years ago
Bongo504 Jul
Baada ya utata wa BET Awards: Iggy Azalea ajibu alivyochukulia maneno ya Nicki Minaj