Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Drake na Chris Brown wamaliza beef yao, waonekana studio pamoja

Miaka michache iliyopita rapper Drake na Chris Brown walikua ni maadui wasiopikika chungu kimoja kutokana na penzi la mtoto Rihanna ambaye amewahi kuwa mpenzi wa kila mmoja wao. Picha mpya inayowaonesha Drake na Chris Brown wakiwa studio ni kiashirio tosha cha kumalizika kwa beef yao iliyopelekea ugomvi uliotokea kwenye club moja mwaka 2012. Kwa mujibu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Producer aliyewakutanisha Chris Brown na Drake na kumaliza beef yao aeleza jinsi ilivyokuwa

Kama unakumbuka siku chache zilizopita picha iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha Chris Brown na Drake wakiwa studio pamoja, ndio ilikuwa ishara ya kwanza ya kuzikwa kwa beef ya mastaa hao iliyodumu kwa muda mrefu. Producer aliyeshiriki kwa sehemu kubwa kuwapatanisha ma ex hao wa Rihanna siku hiyo aitwaye Mally Mall, amesema kuwa aliwaita Drake […]

 

11 years ago

Bongo5

Video: Drake na Chris Brown waigiza pamoja kwenye ‘skit’ ya tuzo za ESPY 2014

Siku chache zilizopita Chris Brown na Drake walimaliza tofauti zao zilizodumu kwa muda mrefu, na kushare picha wakiwa studio pamoja. Ishara nyingine ya kuzika kabisa beef yao imeonekana jana (July 16) kwenye tukio la tuzo za michezo ‘2014 ESPY Award’ zilizofanyika The Nokia Theatre, Los Angeles, Marekani ambapo Drake na Chris Brown wameigiza kipande kidogo […]

 

10 years ago

Bongo5

Chris Brown na Trey Songz watangaza kuanza tour yao ya pamoja January, 2015

Mastaa wawili wa R&B, Chris Brown na Trey Songz wote kutoka Virginia, Marekani, baada ya kutease kwa muda mrefu hatimaye Jumatatu ya wiki hii wametangaza rasmi tarehe ya kuanza kwa tour yao ya pamoja. Breezy na Songz wanatarajia kuanza tour yao waliyoipa jina la ‘Between The Sheets’ January 28, 2015. Katika show yao ya kwanza […]

 

9 years ago

MillardAyo

Pata picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wanatokea kama machifu wa Nigeria.. (+Pichaz)

Ubunifu wa michoro umekuwa maarufu sana siku hizi na ni kitu kinachovutia… najua hawa mastaa wote hawajawahi kuonekana wakiwa na mavazi ya kiafrika, pata picha eti Chris Brown anatupia nguo za kiafrika itakuwaje??!! Hapa nimepata picha za ubunifu ambazo wanaonekana Drake, Jay Z, P Diddy, Rick Ross na Chris Brown kwenye muonekano wa nguo ambazo mara […]

The post Pata picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wanatokea kama machifu wa Nigeria.. (+Pichaz) appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Drake na Rihanna warudiana? waonekana night club pamoja

Drake na Rihanna wameanza kuonekana tena pamoja baada ya wawili hao kusemekana kutibuana na kila mmoja kuchukua hamsini zake siku za karibuni. Rihanna na Drake wameonekana kwenye club moja iitwayo Griffin nightclub iliyoko New York Jumatatu usiku, na kuamsha hisia za watu wengi kuwa kuna uwezekano mapenzi yao yamerudi. Inadaiwa kuwa Riri na Drizzy waliingia […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wema Sepetu na Penny wamaliza tofauti zao, wakumbatiana na kupiga picha pamoja

Hatimaye mpenzi wa sasa (Wema) na mpenzi wa zamani (Penny) wa msanii wa Bongo fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘penzi’ la hit maker huyo wa ‘Number 1’. Penny, Junaithar aliyewapatanisha, na Wema Muigizaji wa Bongo Movie Wema Sepetu na mtangazaji wa E-FM Penny Mungilwa a.k.a VJ Penny walikutana usiku […]

 

11 years ago

Bongo5

Rihanna awadiss Drake na Chris Brown, asema Eminem ndiye mwanaume wa kweli

Rihanna anahisi Drake na Chris Brown bado wana harufu ya maziwa ya mama zao, na Eminem ndiye mwanaume halisi. Rihanna, 26, yupo kwenye ziara ya pamoja na Eminem, 41, Monster na kwa mujibu waHollywoodLife.com, Riri anapenda kupanda jukwaani na Eminem na anadai kuwa ni muda mrefu tangu atumbuize na ‘mshindi wa kweli’. Kwa mujibu wa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani