Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PENDO MAISHA PLUS ‘ADATA’ MSIBANI

Stori: Gladness Mallya
STAA wa Shindano la Maisha Plus ambaye sasa ni muigizaji, Upendo Mushi ‘Pendo’ ameshindwa kuzuia hisia zake za kimapendo na kufunguka kuwa anampenda sana mwimbaji Kalala Junior. Staa wa Shindano la Maisha Plus ambaye sasa ni muigizaji, Upendo Mushi ‘Pendo’ Akitema stori mbili tatu na paparazi wetu katika msiba wa dairekta George Tyson baada ya kumuona Kalala kwa mbali, Pendo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PENDO WA MAISHA PLUS ATAMANI NDOA!

Na Brighton Masalu
MSHIRIKI wa Shindano la Maisha Plus Season 11 aliye pia msanii wa filamu za Kibongo, Upendo Mushi ‘Pendo wa Maisha Plus’ amefunguka kuwa kwa sasa anatamani sana kuingia katika maisha ya ndoa licha ya mchumba wake kuchelewa kuchukua uamuzi huo. Upendo Mushi ‘Pendo wa Maisha Plus’. Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni ndani ya Viwanja vya Leaders Club jijini Dar, Pendo ambaye...

 

9 years ago

Bongo5

Wema Sepetu adata na wimbo mpya wa Diamond (Video)

wpid-wema-akiwa-pembeni-kumsupport-diamond1.jpg

Ameachana na Diamond lakini Wema Sepetu bado ni shabiki mkubwa wa nyimbo za ex wako huyo.

Malkia huyo wa filamu, amedhihirisha kuwa hana kinyongo na Diamond baada ya kuonekana akiimba wimbo mpya wa msanii huyo, Utanipenda!

Muigizaji huyo aliwahi kunukuliwa akisema ingawa ameachana na Diamond bado ataendelea kupenda muziki wake.

Video yake inayomuonesha akiuimba wimbo huu ilisambaa kutoka kwenye mtandao wa Snapchat.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,...

 

10 years ago

Habarileo

Hoteli yahusishwa utekaji wa albino Pendo

MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo akiongea na vyombo vya habari.MTOTO Pendo Emmanuel (4) mwenye ulemavu wa ngozi, aliyetekwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao wilayani Kwimba, imegundulika alihifadhiwa katika hoteli moja ya kifahari jijini Mwanza, kabla ya kukabidhiwa kwa watu wengine, walioondoka naye kusikojulikana.

 

10 years ago

GPL

MAJI MACHAFU YAMLAZA PENDO KITANDANI

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu na muziki wa taarabu Bongo, Upendo Mushi ‘Pendo’ yu kitandani baada ya kuugua ghafla kwa kile ambacho madaktari waligundua ni kunywa maji yasiyochemshwa. Msanii wa filamu na muziki wa taarabu Bongo, Upendo Mushi ‘Pendo. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kuaminika, msanii huyo anayeishi Mwananyamala jijni Dar es Salaam, baada ya kupimwa na kukutwa na ugonjwa huo, alipatiwa...

 

10 years ago

GPL

MWANAUME NDIYE MWENYE NAFASI YA KULINDA PENDO!

HABARI wadau wa safu yetu, tupo tena pamoja katika kujuzana jinsi gani maisha ya kimapenzi yalivyo. Leo nitakuwa  tofauti kidogo na mara zote ambazo nimekuwa nikiwasiliana nanyi, kwani mara nyingi nimekuwa nikizungumzia kuhusu nafasi ya mwanamke, kuwa ili iwe hivi, basi afanye hivi na kadhalika. Maandiko mengi yamekuwa ni kama ya kuonyesha kuwa mwanamke ndiye mwenye dhamana kubwa ya kuamua juu ya penzi au ndoa aliyomo. Ingawa...

 

9 years ago

GPL

TIMBWILI MSIBANI

Imelda Mtema TAFRANI! Timbwili la aina yake liliibuka hivi karibuni Kiwalani Mivinjeni jijini Dar es Salaam kwenye mazishi ya kijana aitwaye Jackson mwenye umri wa miaka 28, baada ya dada yake kutaka kumpiga mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Monica, aliyedaiwa kuwa ni mpenzi wa marehemu akimhusisha na kifo hicho, Ijumaa lina mkasa kamili. Habari kutoka msibani hapo zilidai kuwa, awali marehemu Jackson alikuwa ni mfanyabiashara...

 

11 years ago

Mwananchi

Obama atikisa msibani

Licha ya kuwa ni siku ya huzuni kwa dunia nzima, hotuba ya Rais wa Marekani, Barack Obama imewagusa maelfu ya watu waliokuwa kwenye Uwanja wa FNB katika ibada ya kitaifa kumwaga Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

11 years ago

Habarileo

Sakata la mahari msibani

BAADA ya vuta nikuvute iliyosababisha uhasama mkubwa baina ya familia mbili mjini hapa wakigombea kuuzika mwili wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, hatimaye familia ya baba mzazi wa marehemu imekubali ‘yaishe “ na kuruhusu familia ya mama mzazi kumzika mtoto huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani