Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obama atikisa msibani

Licha ya kuwa ni siku ya huzuni kwa dunia nzima, hotuba ya Rais wa Marekani, Barack Obama imewagusa maelfu ya watu waliokuwa kwenye Uwanja wa FNB katika ibada ya kitaifa kumwaga Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?

Je ulimwona rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha Kenya ijumaa usiku

 

10 years ago

Bongo5

Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’

Ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama umeacha historia ya mambo mengi kwa wananchi wa Kenya. Baadhi ya wazazi wa watoto waliozaliwa siku ambayo Obama alitua nchini Kenya Ijumaa ya July 24, wamewapa watoto wao majina yanayohusiana na Rais huyo. Mzazi mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume siku hiyo aliamua kumpa mtoto wake jina la Rais […]

 

9 years ago

GPL

TIMBWILI MSIBANI

Imelda Mtema TAFRANI! Timbwili la aina yake liliibuka hivi karibuni Kiwalani Mivinjeni jijini Dar es Salaam kwenye mazishi ya kijana aitwaye Jackson mwenye umri wa miaka 28, baada ya dada yake kutaka kumpiga mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Monica, aliyedaiwa kuwa ni mpenzi wa marehemu akimhusisha na kifo hicho, Ijumaa lina mkasa kamili. Habari kutoka msibani hapo zilidai kuwa, awali marehemu Jackson alikuwa ni mfanyabiashara...

 

11 years ago

Habarileo

Sakata la mahari msibani

BAADA ya vuta nikuvute iliyosababisha uhasama mkubwa baina ya familia mbili mjini hapa wakigombea kuuzika mwili wa mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu, hatimaye familia ya baba mzazi wa marehemu imekubali ‘yaishe “ na kuruhusu familia ya mama mzazi kumzika mtoto huyo.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Dk. Slaa atikisa

WAKATI aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, akisisitiza kuwa uamuzi wake wa kustaafu siasa upo pale pale, kujiuzulu kwake ghafla kumezua gumzo nchi nzima na kuwafanya wananchi wengine kushindwa kuamini walichokisikia.

Uamuzi wa Dk. Slaa kuacha madaraka ndani ya Chadema na kupumzika siasa uliwekwa hadharani jana na gazeti hili ikiwa ni siku moja tu tangu viongozi wa chama hicho kumkaribisha aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,...

 

10 years ago

GPL

HUSNA MAULID AFUKUZWA MSIBANI

Aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid. Imelda mtema
ALIYEKUWA mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid hivi karibuni amedaiwa kufukuzwa kwenye msiba mmoja maeneo ya Mbezi mara baada ya kuonekana akijipiga picha (selfie) na kujichukua video akiwa ghorofani. Kwa mujibu wa chanzo chetu, siku ya tukio, Husna akiwa msibani hapo, kwa sababu anazozijua mwenyewe, alipanda ghorofani kwenye nyumba hiyo yenye msiba na...

 

9 years ago

GPL

LOWASSA ADHIBITIWA NA POLISI MSIBANI

Na Mwandishi Wetu, Moshi Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa jana alidhibitiwa na polisi wakati alipokuwa akienda kwenye msiba wa marehemu Peter Kisumo ambaye alizikwa jana katika Kijiji cha Kighare mkoani Kilimanjaro. Lowassa na msafara wake akiwa na viongozi wa kisiasa akiwemo Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia, mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, ulizuiliwa na polisi baada ya...

 

11 years ago

GPL

JK MSIBANI KWA MZEE SMALL

Rais Jakaya Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Mzee Small eneo la Tabata, Mawenzi Dar kuwapa pole wafiwa. Kulia ni Rais wa TAFF, Simon Mwakifwamba. Msanii mkongwe wa maigizo, Mashaka akiwa msibani na Zamaradi Mketema.…

 

10 years ago

Mwananchi

Vilio vya unafiki msibani

Msiba au ‘msibani’ ni mahali na ‘kifo’ kimetokea au mahali na pameamuliwa pawe ni ‘makazi’ maalumu ya kukusanyika wanandugu, majirani, marafiki na waombolezaji kwa ajili ya kushughulikia, kujadiliana na kufanya maandalizi ya mazishi ya ‘marehemu-mhusika’. Ni mahali palipozingirwa na majonzi, hofu, utata na msononeko wa kila hali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani