Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Slaa atikisa

WAKATI aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, akisisitiza kuwa uamuzi wake wa kustaafu siasa upo pale pale, kujiuzulu kwake ghafla kumezua gumzo nchi nzima na kuwafanya wananchi wengine kushindwa kuamini walichokisikia.

Uamuzi wa Dk. Slaa kuacha madaraka ndani ya Chadema na kupumzika siasa uliwekwa hadharani jana na gazeti hili ikiwa ni siku moja tu tangu viongozi wa chama hicho kumkaribisha aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA


Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto atikisa Bunge

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Zitto Zuberi Kabwe, amesema Tanzania ina uwezo wa kugharimia idadi yoyote ya serikali zitakazoridhiwa na Watanzania kwakuwa ina uwezo mkubwa kifedha. Zitto amesema hakuna uhusiano...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ATIKISA IGUNGA

Mgombea urais wa CCM, Dk. John pombe Magufuli akihutubia wananchi katika mkutano wa Kampeni leo mjini Igunga, Tabora. Mgombea urais wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni mjini…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu atikisa serikali

MAKOMBORA ya maneno yaliyokuwa yakitolewa na msemaji wa taarifa ya wachache bungeni, Tundu Lissu, juu ya muundo wa muungano, na kutokuwapo kwa Hati za Muungano kumetikisa serikali ambayo sasa imeamua...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Magufuli atikisa Geita

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ameendelea kuahidi kutowaangusha Watanzania atakapopewa ridhaa ya kuongoza nchi.

 Dk. Magufuli aliyasema hayo jana wakati akihutubia maelfu ya wananchi mjini hapa kabla ya kuelekea jimboni kwake Chato, mkoani Geita.

“Jamani nashukuru sana, nashukuru sana kwa umati huu uliojitokeza kunipokea, kwa kweli sijapata mapokezi makubwa kama haya sehemu zote nilizopita, nawaahidi kuwa sitawaangusha na muda wa kampeni ukifika,...

 

11 years ago

Mwananchi

Obama atikisa msibani

Licha ya kuwa ni siku ya huzuni kwa dunia nzima, hotuba ya Rais wa Marekani, Barack Obama imewagusa maelfu ya watu waliokuwa kwenye Uwanja wa FNB katika ibada ya kitaifa kumwaga Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.

 

10 years ago

Mwananchi

Sugu atikisa Uwanja wa Sokoine

>Sugu sugu sugu… hivyo ndiyo mashabiki wa Mbeya City walivyoimba kwa muda mrefu baada ya mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kuingia uwanjani juzi kushuhudia mechi ya Ligi Kuu kati ya Mbeya City na Coastal Union.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa atikisa ngome ya Zitto

OTH_6079NA MAREGESI PAUL, KIGOMA

MAFURIKO ya mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana yalihamia katika Mji wa Kigoma ambako Zitto Kabwe anagombea ubunge kupitia Chama cha ACT- Wazalendo.

Kama ilivyokuwa katika maeneo mengine alikopita mgombea huyo, umati mkubwa ulijitokeza katika mkutano wake wa kampeni za urais uliofanyika katika uwanja wa mikutano wa Mwanga ambao umewashangaza hata wakazi wa eneo hilo waliosema ni aghalabu uwanja huo kujaa.

Akizungumza...

 

11 years ago

GPL

ASKOFU BILIONEA BONGO ATIKISA

Stori: Jelard Lucas
ASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi  kwa kuwa na magari ya kifahari na ndege aina ya helikopta ‘chopa’ iliyokuwa ikirandaranda juu ya anga kulinda usalama wake, Uwazi lina ushuhuda wa kutosha. Katika mkutano huo uliofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani