ASKOFU BILIONEA BONGO ATIKISA

Stori: Jelard Lucas ASKOFU na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry ‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi karibuni alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi kwa kuwa na magari ya kifahari na ndege aina ya helikopta ‘chopa’ iliyokuwa ikirandaranda juu ya anga kulinda usalama wake, Uwazi lina ushuhuda wa kutosha. Katika mkutano huo uliofanyika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
BILIONEA WA UNGA ATIKISA DAR
5 years ago
Michuzi
ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA


11 years ago
MichuziHafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...
11 years ago
GPLHAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA
10 years ago
Michuzi
Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo



Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Dk. Slaa atikisa
WAKATI aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, akisisitiza kuwa uamuzi wake wa kustaafu siasa upo pale pale, kujiuzulu kwake ghafla kumezua gumzo nchi nzima na kuwafanya wananchi wengine kushindwa kuamini walichokisikia.
Uamuzi wa Dk. Slaa kuacha madaraka ndani ya Chadema na kupumzika siasa uliwekwa hadharani jana na gazeti hili ikiwa ni siku moja tu tangu viongozi wa chama hicho kumkaribisha aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa,...
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Magufuli atikisa Geita
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ameendelea kuahidi kutowaangusha Watanzania atakapopewa ridhaa ya kuongoza nchi.
Dk. Magufuli aliyasema hayo jana wakati akihutubia maelfu ya wananchi mjini hapa kabla ya kuelekea jimboni kwake Chato, mkoani Geita.
“Jamani nashukuru sana, nashukuru sana kwa umati huu uliojitokeza kunipokea, kwa kweli sijapata mapokezi makubwa kama haya sehemu zote nilizopita, nawaahidi kuwa sitawaangusha na muda wa kampeni ukifika,...
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
Zitto atikisa Bunge
MJUMBE wa Bunge la Katiba, Zitto Zuberi Kabwe, amesema Tanzania ina uwezo wa kugharimia idadi yoyote ya serikali zitakazoridhiwa na Watanzania kwakuwa ina uwezo mkubwa kifedha. Zitto amesema hakuna uhusiano...
10 years ago
GPLMAGUFULI ATIKISA IGUNGA