Magufuli atikisa Geita
MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli ameendelea kuahidi kutowaangusha Watanzania atakapopewa ridhaa ya kuongoza nchi.
Dk. Magufuli aliyasema hayo jana wakati akihutubia maelfu ya wananchi mjini hapa kabla ya kuelekea jimboni kwake Chato, mkoani Geita.
“Jamani nashukuru sana, nashukuru sana kwa umati huu uliojitokeza kunipokea, kwa kweli sijapata mapokezi makubwa kama haya sehemu zote nilizopita, nawaahidi kuwa sitawaangusha na muda wa kampeni ukifika,...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMAGUFULI ATIKISA MIKOA YA GEITA NA SHINYANGA
9 years ago
MichuziMAGUFULI ATIKISA MJI MDOGO WA KATORO MCHANA HUU MKOANI GEITA
9 years ago
MichuziLOWASSA ATIKISA CHATO, MKOANI GEITA
9 years ago
VijimamboMAMA SAMIA ATIKISA KWA KAMPENI KATIKA MAJIMBO YA SHINYANGA LEO, ATINGA GEITA KWA KISHINDO
Baadhi ya...
9 years ago
GPLMAGUFULI ATIKISA IGUNGA
9 years ago
Habarileo27 Aug
Magufuli atikisa Tunduma, ajivunia uchapakazi
MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli amesema katika uongozi wake katika sekta ya ujenzi, alijikuta akifukuza kazi makandarasi 3,200 walioonesha uzembe kazini.
9 years ago
GPLMAGUFULI ATIKISA NYAMONGO NA TARIME, MKOANI MARA
10 years ago
MichuziMAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE CHATO,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA KONA YA MJI
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa kuchaguliwa kwake katika nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chake kuwania nafasi ya Urais .
Mbunge wa Chato na Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa mji huo waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kuwasili leo jioni mjini humo...
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Dkt. John Pombe Magufuli atikisa jimboni kwake, wananchi waibua shangwe kila kona ya mji