Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAGUFULI ATIKISA NYAMONGO NA TARIME, MKOANI MARA

  Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. Jonh Pombe Magaufuli akinani sera zake Nyamongo mkoani Mara.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKAZI WA TARIME MKOANI MARA ASHINDA SHILINGI MILIONI 20 BAADA YA KUCHEZA BAHATI NASIBU YA BENKI YA I & M LTD

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya  I&M, Baseev Mohamed (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh.milioni 20, Mkuu wa Idara ya Biashara wa benki hiyo, Svikanth T,  kwa niaba ya mteja wa benki hiyo, Jumanne Francis Mchenje wa Tarime mkoani Mara anayeishi jijini Mwanza aliyejinyakulia kitita hicho cha fedha baada ya kushinda bahati nasibu ya kwanza inayoendeshwa na benki hiyo kwa ajili ya kuongeza wateja wapya iliyofanyika Dar es Salaam jana. Katikati ni Meneja Masoko, Ruheen...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI ATIKISA MJI MDOGO WA KATORO MCHANA HUU MKOANI GEITA

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita mapema leo mchana kwenye viwanja vya mnada wa Ng'ombe,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya Wananchi wamehudhuria Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwandani Wagombea Ubunge wa jimbo la Bukombe na Chato mapema mchana huu alipokuwa akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, kwenye viwanja vya mnada wa Ng'ombe,katika mkutano wa hadhara wa...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA ATIKISA MUSOMA, BUNDA NA TARIME, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akisalimiana wanachama wa CCM waliofika kumpokea katika Uwanja wa Ndege Musoma mkoani Mara jana kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na wanachama wa Chama Chama Mpinduzi(CCM )nje ya Ofisi ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara baada wakati alipofika kwa ajili yakutafuta wanachama wakumdhani kugombea Urais.Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwasha mshumaa kwenye Kaburi la Baba wa Taifa...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

11 years ago

Michuzi

Dk.MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BARABARA ZA USAGARA - KISESA NA MAKUTANO - NATTA MKOANI MWANZA NA MARA

Leo Jumapili Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (MB) amefanya ziara ya kushtukiza kukagua miradi ya maendeleo ujenzi wa barabara za Usagara - Kisesa yenye urefu wa kilomita 16 iliyopo mkoa wa Mwanza na barabara ya Makutano - Natta illiyopo mkoa wa Mara.Ukaguzi barabara ya Makutano - Natta (Mkoani Mara) Ukaguzi daraja la Kyarano (Wilayani Butiama)Ujenzi Daraja la Kyarano akiwa na Mh.MkonoUkaguzi daraja la Nyashishi barabara ya Usagara - Kisesa, mkoani Mwanza

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ATIKISA MKOANI KIGOMA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akitembelea kuelekea kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara za Kampeni, iliyokuwepo kwenye Uwanja wa Ndege wa Mpanda, alipokuwa akielekea Mkoani Kigoma kuendelea na ziara zake ya Kampeni,  Septemba 4, 2015.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward...

 

11 years ago

Daily News

Tarime MP mourns Mara RC, to take part in burial preps


Tarime MP mourns Mara RC, to take part in burial preps
Daily News
TARIME legislator Nyangwine Nyambari has expressed deep sorrow and sent condolences to the family and relatives of the late Mara Regional Commissioner, John Tuppa, who died suddenly on Tuesday while on official duty in Tarime District. The legislator ...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATIKISA CHATO, MKOANI GEITA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi ya Zamani ya Chato, Wilayani Chato, Mkoani Geita leo Septemba 16, 2015. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnaji Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chato, Dkt. Benedicto Lukanima, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani