Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa atikisa ngome ya Zitto

OTH_6079NA MAREGESI PAUL, KIGOMA

MAFURIKO ya mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana yalihamia katika Mji wa Kigoma ambako Zitto Kabwe anagombea ubunge kupitia Chama cha ACT- Wazalendo.

Kama ilivyokuwa katika maeneo mengine alikopita mgombea huyo, umati mkubwa ulijitokeza katika mkutano wake wa kampeni za urais uliofanyika katika uwanja wa mikutano wa Mwanga ambao umewashangaza hata wakazi wa eneo hilo waliosema ni aghalabu uwanja huo kujaa.

Akizungumza...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto atikisa Bunge

MJUMBE wa Bunge la Katiba, Zitto Zuberi Kabwe, amesema Tanzania ina uwezo wa kugharimia idadi yoyote ya serikali zitakazoridhiwa na Watanzania kwakuwa ina uwezo mkubwa kifedha. Zitto amesema hakuna uhusiano...

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Zitto atikisa Mwidau CUP Pangani

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), amesema hatua ya Tanzania kutofanya vizuri katika michenoa ya kimataifa ni kukosekana misingi imara wa kuinua vipaji kuanzia ngazi ya chini.
Hayo alisema leo mjini Pangani alipokuwa akizindua mashindano ya Mwidau CUP, ambapo asema hatua ya Tanzania kutoka patupu katika mashindano ya Olimpiki ni kielelezo tosha cha kuhitaji maandalizi ya kina.
“Nchi yetu haijapata bahati ya kufanya vizuri kwenye michezo kwani hivi juzi timu zetu zilikuwa katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yapasua ngome ya Zitto

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepasua ngome ya mbunge wake, Zitto Kabwe na kuzidi kujiimarisha kisiasa katika jimbo la Kigoma Kaskazini. Timu ya viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA ATIKISA MKOANI KIGOMA

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akitembelea kuelekea kwenye Helkopta anayoitumia kwa ziara za Kampeni, iliyokuwepo kwenye Uwanja wa Ndege wa Mpanda, alipokuwa akielekea Mkoani Kigoma kuendelea na ziara zake ya Kampeni,  Septemba 4, 2015.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward...

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa atikisa makao makuu ya CCM

MTZ jmosi new.inddLissu, Sumaye, Mnyika wamshambulia Warioba kwa unafiki

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MGOMBEA urais wa Chama cha Demokarsia na Maendeleo (Chadema) anayeungwa mkono na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, jana alitikisa mji wa Dodoma ambao ni Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Tukio hilo lilitokea wakati wa mkutano wa kampeni za urais za mgombea huyo ambapo maelfu ya wananchi wa Dodoma walihudhuria mkutano huo uliofanyika katika Viwanja vya Barafu mjini hapa.

Kabla ya mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

LOWASSA ATIKISA CHATO, MKOANI GEITA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi ya Zamani ya Chato, Wilayani Chato, Mkoani Geita leo Septemba 16, 2015. Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnaji Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chato, Dkt. Benedicto Lukanima, katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Lowassa aiteka ngome ya CCM

Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi(Ukawa), Edward Lowassa akihutubia wananchi kwenye uwanja Town School, mjini Tabora jana. 6th September 2015 Harakati za mgombea urais kupitia Chama cha […]

The post Lowassa aiteka ngome ya CCM appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aiteka ngome ya Magufuli Chato

Mgombea wa urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa leo ameingia Wilaya ya Chato ambapo akiwa katika mkutano wa kampeni, Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani humo ame mponda Dk Magufuli kwa kushindwa kutetea maslahi ya walimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Kumekucha Uchaguzi Mkuu 2015, Lowassa atikisa CCM, upinzani

Kumekucha. Pengine hilo ndilo neno linalofaa kutumika kuelezea matokeo ya utafiti kuhusu kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 ambayo yanaonyesha kuwa iwapo ungefanyika leo, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa angeibuka mshindi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani