CHADEMA yapasua ngome ya Zitto
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepasua ngome ya mbunge wake, Zitto Kabwe na kuzidi kujiimarisha kisiasa katika jimbo la Kigoma Kaskazini. Timu ya viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania05 Sep
Lowassa atikisa ngome ya Zitto
NA MAREGESI PAUL, KIGOMA
MAFURIKO ya mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, jana yalihamia katika Mji wa Kigoma ambako Zitto Kabwe anagombea ubunge kupitia Chama cha ACT- Wazalendo.
Kama ilivyokuwa katika maeneo mengine alikopita mgombea huyo, umati mkubwa ulijitokeza katika mkutano wake wa kampeni za urais uliofanyika katika uwanja wa mikutano wa Mwanga ambao umewashangaza hata wakazi wa eneo hilo waliosema ni aghalabu uwanja huo kujaa.
Akizungumza...
9 years ago
Habarileo07 Oct
Gama avunja ngome ya Chadema Songea
MG O M B E A ubunge wa Jimbo la Songea Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi, Leonidas Gama, amevunja ngome ya Chadema katika Kata ya Mfaranyaki Manispaa ya Songea. Pamoja na kuivunja ngome hiyo aliwataka wakazi wa kata hiyo kutorudia makosa ya kukirudisha Chadema madarakani, kwani kufanya hivyo kunaweza kuongeza tatizo la umasikini.
5 years ago
MichuziKHERI JAMES AIPASUA NGOME YA CHADEMA ROMBO.
************************************Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Komred Kheri James amepasua ngome ya Upinzania katika Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro kwa Kupokea Viongozi mbalimbali wa Chama Hicho.Viongozi walio pokelewa leo ni Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Rombo ndg Athuman...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU YA CCM,NDUGU KINANA YAIBOMOA NGOME YA CHADEMA WILAYANI LUSHOTO.
10 years ago
MichuziCHIKAWE AIBOMOA NGOME YA CHADEMA NACHINGWEA,VIGOGO, WANACHAMA WAO WARUDI KWA KISHINDO CCM
9 years ago
MichuziMAGUFULI ABOMOA NGOME ZA CHADEMA HANANG, MBULU NA KARATU. AMMWAGIA SIFA LUKUKI DKT. SLAA
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AITEKA HANANG,AIBOMOA NGOME YA CHADEMA MKOANI MANYARA.
Hatua hiyo ya kumhoji ilifikiwa baada Kiongozi huyo kuuliza swali kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye Kijiji cha...
11 years ago
MichuziNGOME YA CHADEMA NDANI YA JIMBO LA CHALINZE YAANZA KUPANGUKA,WAWILI WARUDISHA KADI KWA RIDHIWANI KIKWETE
11 years ago
Tanzania Daima09 Mar
Kura ya siri yapasua Bunge
KURA ya siri sasa imegeuka mwiba mchungu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo sasa kimeapa kufa na kada yeyote atakayeunga mkono upigaji wa kura hiyo katika kupitisha vifungu vya Rasimu...