Kura ya siri yapasua Bunge
KURA ya siri sasa imegeuka mwiba mchungu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo sasa kimeapa kufa na kada yeyote atakayeunga mkono upigaji wa kura hiyo katika kupitisha vifungu vya Rasimu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
CHADEMA yapasua ngome ya Zitto
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimepasua ngome ya mbunge wake, Zitto Kabwe na kuzidi kujiimarisha kisiasa katika jimbo la Kigoma Kaskazini. Timu ya viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Makamu...
10 years ago
Habarileo21 Apr
Majimbo yapasua kichwa wana-Ukawa
HATIMA ya kuachiana kwa majimbo ya uchaguzi kwa vyama vya siasa vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), inatarajiwa kujulikana wiki ijayo.
11 years ago
Habarileo28 Feb
Kura ya siri yaweka Bunge njiapanda
KIFUNGU cha kura ya siri katika Rasimu ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, kimeliweka Bunge njia panda baada ya wajumbe bila kujali vyama na makundi, kugawanyika.
10 years ago
Habarileo05 Oct
Mzindakaya: Wanaoshutumu Bunge wana ajenda ya siri
MWANASIASA mkongwe nchini, Dk Chrisant Mzindakaya amesema watu wasioitakia mema wameumbuka baada ya wajumbe wa Bunge Maalumu kuamua kubakia wamoja na kupata Katiba Inayopendekezwa.
11 years ago
Mwananchi16 Jun
Siri ya mvutano Serikali, Bunge kuanikwa leo
10 years ago
Mtanzania24 Sep
Siri ya AG Z’bar kujiuzulu Bunge la Katiba yabainika
![Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Othman-Masoud-Othman.jpg)
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman
NA WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA
SIRI ya Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman kujiuzulu ujumbe wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, imebainika.
Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Kamati ya Uandishi ya Bunge hilo, kililiambia MTANZANIA kuwa wakati vikao vya kamati hiyo vikiendelea, Othman alipendekeza mambo 17 yenye maslahi kwa Zanzibar yaingizwe ndani ya...
11 years ago
Mwananchi08 Mar
Kura ya siri, wazi kaa la moto Bunge la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
BUNGE MAALUMU LA KATIBA: CCM ina ajenda ya siri
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kama chama tawala kwa muda mrefu Tanzania, kimejizatiti kimkakati kudhibiti mchakato wa uandikaji wa Katiba mpya! Dhamira ya CCM juu ya uandikaji wa Katiba mpya umejikita...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]