Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siri ya mvutano Serikali, Bunge kuanikwa leo

Siri ya mvutano uliodumu kwa takriban wiki mbili baina ya Serikali na Kamati ya Bajeti, utawekwa hadharani leo wakati Bunge litakapoanza kujadili Bajeti Kuu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mvutano mkali watokea baina ya Serikali na Bunge

Sasa ni dhahiri kwamba kuna msuguano wa wazi kati ya mihimili miwili ya dola, Bunge na Serikali, kuhusiana na hatua ya Serikali kuchelewa kutekeleza maazimio ya Bunge.

 

11 years ago

Mwananchi

Mvutano mkali Bunge, Mahakama

Kitendo cha Mahakama kufungua milango kwa mawaziri na wabunge kufunguliwa mashtaka kutokana na kauli watakazozitoa bungeni ambazo ni kinyume cha Katiba na Sheria, kimeonekana kuwachanganya viongozi hao ambao wamesema kuwa wanalindwa na sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kura ya siri yapasua Bunge

KURA ya siri sasa imegeuka mwiba mchungu kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambapo sasa kimeapa kufa na kada yeyote atakayeunga mkono upigaji wa kura hiyo katika kupitisha vifungu vya Rasimu...

 

11 years ago

Habarileo

Kura ya siri yaweka Bunge njiapanda

Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir KifichoKIFUNGU cha kura ya siri katika Rasimu ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, kimeliweka Bunge njia panda baada ya wajumbe bila kujali vyama na makundi, kugawanyika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mafisadi wa IPTL kuanikwa Nov 26

HATIMA ya vigogo wanaotuhumiwa kuchota fedha zaidi ya sh. bilioni 300 katika akaunti ya Tegeta Escrow ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), itajulikana Novemba 26 mwaka huu, wakati ripoti ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasamehewa kodi kuanikwa bungeni

Ripoti ya misamaha ya kodi inayotolewa kwa watu na taasisi nchini na jinsi inavyotia hasara au kulinufaisha taifa, inatarajiwa kuwasilishwa katika mkutano wa Bunge la Bajeti, imefahamika.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wakwepa kodi sasa kuanikwa


NA THEODOS MGOMBA NA NJUMAI NGOTA
SERIKALI imewasilisha Bungeni muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi, ambao pamoja na mambo mengine, utaweka utaratibu wa kuwatangaza kwenye vyombo vya habari wakwepa kodi wote.
Akiwasilisha muswada huo bungeni jana, Waziri Fedha, Saada Mkuya Salum, alisema madhumuni ya muswada huo ni kuweka mfumo wa kisasa.
Waziri alisema nia ya kuwatangaza wakwepa kodi hao, ambao watathibitika kufanya hivyo, kutapunguza  makosa sugu na ya makusudi.
Alisema  mfumo huo wa kodi...

 

11 years ago

Mtanzania

Siri ya AG Z’bar kujiuzulu Bunge la Katiba yabainika

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman

NA WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA

SIRI ya Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman kujiuzulu ujumbe wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, imebainika.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Kamati ya Uandishi ya Bunge hilo, kililiambia MTANZANIA kuwa wakati vikao vya kamati hiyo vikiendelea, Othman alipendekeza mambo 17 yenye maslahi kwa Zanzibar yaingizwe ndani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani