Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siri ya AG Z’bar kujiuzulu Bunge la Katiba yabainika

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman

NA WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA

SIRI ya Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman kujiuzulu ujumbe wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, imebainika.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Kamati ya Uandishi ya Bunge hilo, kililiambia MTANZANIA kuwa wakati vikao vya kamati hiyo vikiendelea, Othman alipendekeza mambo 17 yenye maslahi kwa Zanzibar yaingizwe ndani ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Siri ya watoto kupotea, kuibwa yabainika

Kwa muda mrefu kumekuwapo na taarifa za watoto kupotea katika mazingira tofauti, huku baadhi yao wakipatikana na kuunganishwa tena na wazazi wao, lakini wengine hawajaonekana hadi leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Siri ya wizi mafuta ya transfoma yabainika

 Ile dhana ya kuwa mafuta ya kupoza transfoma yanaibwa na wauza chipsi, imebainika siyo ya kweli baada ya uchunguzi kuonyesha kuwa yanatumiwa viwandani kuendesha mitambo, kuchanganywa katika vipodozi na mengine yakisafirishwa nchi za nje.

 

11 years ago

Mwananchi

Siri utupaji viungo vya maiti yabainika

>Wakati ikibainika kuwa viungo vya miili ya binadamu vilivyookotwa juzi katika Bonde la Mto Mpiji nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam vilitoka katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), jana Jeshi la Polisi liliwatia nguvuni watumishi wanane wa chuo hicho kuhusiana na sakata hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mjumbe Bunge la Katiba avuliwa uanachama Z,bar

Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia Chama cha Allience for Tanzania Farmers Party (AFP), Rashid Yussuf Mchenga amevuliwa uanachama kwa madai ya kughushi saini ya Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Shaibu Masoud Salum. Uamuzi huo ulitangazwa juzi na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Said Soud Said.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri, wazi kaa la moto Bunge la Katiba

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, juzi na jana wamekuwa katika mtihani mgumu wa kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa upigaji kura, kati ya kura ya wazi na kura ya siri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

BUNGE MAALUMU LA KATIBA: CCM ina ajenda ya siri

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kama chama tawala kwa muda mrefu Tanzania, kimejizatiti kimkakati kudhibiti mchakato wa uandikaji wa Katiba mpya! Dhamira ya CCM juu ya uandikaji wa Katiba mpya umejikita...

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]

Kutokana na uzito wa mjadala huo wa kura, mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho, alilazimika kusogeza mbele muda wa kumaliza kikao hicho hadi saa tatu usiku.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri ama la? ‘Amueni wenyewe,’ Mahalu awaambia wajumbe #Bunge la #Katiba [VIDEO]

>Swali la njia muafaka ya kupiga kura limewagawa vilivyo wajumbe wiki hii, huku vikao vikitawaliwa na mabishano makali kati ya wanaotaka kura ya siri, na wanaotaka uwazi.

 

11 years ago

Mwananchi

BARAZANI: Waziri atishia kujiuzulu Z’bar

>Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Issa Haji Ussi amesema yuko tayari kuachia nafasi yake endapo itagundulika kauli zake zinadanganya na kushusha utendaji wa Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani