Mjumbe Bunge la Katiba avuliwa uanachama Z,bar
Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia Chama cha Allience for Tanzania Farmers Party (AFP), Rashid Yussuf Mchenga amevuliwa uanachama kwa madai ya kughushi saini ya Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Shaibu Masoud Salum. Uamuzi huo ulitangazwa juzi na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Said Soud Said.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania07 May
Mrema avuliwa uanachama TLP
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Ukweli na Maridhiano ya Chama cha Tanzania Labour (TLP), imetangaza kumvua uanachama Mwenyekiti wa chama hicho, Agustino Mrema.
Akizungumza jana, jijini Dar es Salaam na MTANZANIA Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Joram Kinanda alisema kuwa kamati hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kupitia kwa kina malalamiko yaliyokuwa yakimuhusu Mrema, ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo.
Mwenyekiti huyo alisema kuwa mbali na Mrema wengine waliovuliwa uanachama ni Hamisi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLQ-NeKfBjZ8PlQh1KGGfLSk3Z4D64Ktq92BeFYzr7yw-eFq9qeHZozLauGod6RMxrP5C22WX-gM1qAIym2*x25T/ZITTOKABWETABORA1.jpg)
ZITTO KABWE AVULIWA UANACHAMA CHADEMA
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-BuynWn8MXPY/VP67CPOBb4I/AAAAAAAAfP4/vO1fN6G0wFY/s72-c/zitto.jpg)
ZITTO AVULIWA RASMI UANACHAMA CHADEMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-BuynWn8MXPY/VP67CPOBb4I/AAAAAAAAfP4/vO1fN6G0wFY/s640/zitto.jpg)
Katika maamuzi hayo ya Mahakama kuu ya Tanzania leo...
10 years ago
Mwananchi10 Mar
Zitto Kabwe avuliwa rasmi uanachama chadema
10 years ago
GPL10 Mar
11 years ago
Michuzi27 Feb
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-3
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Ushuhuda wa Mjumbe wa Bunge la Katiba-2
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mjumbe Bunge la Katiba afukuzwa
MJUMBE wa Bunge la Katiba, Rashid Yussuf Mshenga amefukuzwa uanachama wa Chama cha Wakulima (AFP). Kitendo hicho kimefanywa na Mwenyekiti wa chama hicho, Said Soud. Hata hivyo, Mshenga amepinga kitendo hicho na kudai ni matokeo ya wivu wa maendeleo.