Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Siri ya watoto kupotea, kuibwa yabainika

Kwa muda mrefu kumekuwapo na taarifa za watoto kupotea katika mazingira tofauti, huku baadhi yao wakipatikana na kuunganishwa tena na wazazi wao, lakini wengine hawajaonekana hadi leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Siri ya wizi mafuta ya transfoma yabainika

 Ile dhana ya kuwa mafuta ya kupoza transfoma yanaibwa na wauza chipsi, imebainika siyo ya kweli baada ya uchunguzi kuonyesha kuwa yanatumiwa viwandani kuendesha mitambo, kuchanganywa katika vipodozi na mengine yakisafirishwa nchi za nje.

 

11 years ago

Mwananchi

Siri utupaji viungo vya maiti yabainika

>Wakati ikibainika kuwa viungo vya miili ya binadamu vilivyookotwa juzi katika Bonde la Mto Mpiji nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam vilitoka katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), jana Jeshi la Polisi liliwatia nguvuni watumishi wanane wa chuo hicho kuhusiana na sakata hilo.

 

10 years ago

Mtanzania

Siri ya AG Z’bar kujiuzulu Bunge la Katiba yabainika

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman

Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Othman Masoud Othman

NA WAANDISHI WETU, DAR NA DODOMA

SIRI ya Mwanasheria Mkuu (AG) wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman kujiuzulu ujumbe wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, imebainika.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Kamati ya Uandishi ya Bunge hilo, kililiambia MTANZANIA kuwa wakati vikao vya kamati hiyo vikiendelea, Othman alipendekeza mambo 17 yenye maslahi kwa Zanzibar yaingizwe ndani ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wadaiwa kuibwa shuleni

Uvumi wa watu wasiofahamika waliokuwamo ndani ya gari aina ya Noah lenye rangi nyeusi, kwamba wameiba watoto wapatao kumi kutoka Shule za Msingi Mtambani na Boko, Kinondoni Dar es Salaam zimevuruga utaratibu wa masomo, maisha ya wazazi na utendaji kazi wa walimu kwenye shule hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

Zaidi Sh5 milioni zilizodaiwa kuibwa Chamwino zarejeshwa

Zaidi ya Sh5.9 milioni zilizodaiwa kimeibwa na baadhi ya maofisa watendaji wa kata na vijiji katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma zimerejeshwa.

 

9 years ago

Global Publishers

Mastaa waliofanya siri kuficha mimba, watoto 2015

kyaka                                                                        Jenifer Kyaka.

Mayasa mariwata

MIONGONI mwa vioja vilivyotikisa mwaka 2015 ni kitendo cha baadhi ya mastaa wa filamu Bongo kuyapiga chenga madai ya kubeba mimba na kuzaa huku wengine wakificha watoto wao, kwa kutotaka waonekane sura pasipo kuwa na sababu za msingi.

Katika makala haya, yanachambua baadhi ya mastaa waliofanya hivyo;

AUNT EZEKIEL
Staa huyu asiyechuja, gumzo kubwa lilianza baada ya kupewa ujauzito na dansa...

 

5 years ago

Mwananchi

Staili mpya ya unywaji wa ‘viroba’ yabainika

Baada ya Serikali kupiga marufuku matumizi ya pombe kali zinazofungashwa kwenye mifuko ya plastiki maarufu viroba, wauzaji na watumiaji wake wameibuka na mbinu mpya ya kupata kinywaji hicho.

 

11 years ago

Michuzi

Mbunge Ndungulile aanika siri mpya za matumizi ya madawa ya kulevya kwa watoto wadogo

Mgeni rasmi ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Kigamboni Ndugu Faustine Ndungulile akifungua rasmi Baraza la kazi la UVCCM (W) Temeke mbele ya Wajumbe (hawapo pichani) lililofanyika kwenye ukumbi wa Malaika uliopo Kata ya vijibweni, Jimbo la Kigamboni. Picha na Emmanuel J. Shilatu --------------------------------------- Na Emmanuel J. Shilatu Mbunge wa Kigamboni Mhe. Faustine Ndungulile ameanika siri na aina mpya ya wauzaji wa madawa ya kulevya wanayoitumia katika kupanua wigo wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani