Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wadaiwa kuibwa shuleni

Uvumi wa watu wasiofahamika waliokuwamo ndani ya gari aina ya Noah lenye rangi nyeusi, kwamba wameiba watoto wapatao kumi kutoka Shule za Msingi Mtambani na Boko, Kinondoni Dar es Salaam zimevuruga utaratibu wa masomo, maisha ya wazazi na utendaji kazi wa walimu kwenye shule hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Siri ya watoto kupotea, kuibwa yabainika

Kwa muda mrefu kumekuwapo na taarifa za watoto kupotea katika mazingira tofauti, huku baadhi yao wakipatikana na kuunganishwa tena na wazazi wao, lakini wengine hawajaonekana hadi leo.

 

11 years ago

Habarileo

Udhalilishaji kingono wadaiwa kushamiri shuleni

ZAIDI ya asilimia 80 ya vijana nchini wenye umri kati ya miaka 13 hadi 24 wameripotiwa kunyanyaswa kingono, kudhalilishwa kihisia na kujeruhiwa walipokuwa watoto chini ya umri wa miaka 18 huku matukio hayo yakishamiri zaidi sehemu za shule na kuathiri uwezo wa watoto kielimu.

 

10 years ago

Vijimambo

‘WATOTO’ WA DIAMOND WARUDISHWA SHULENI

‘Watoto wa Diamond’ Hilary na Hamis.
Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha GPL
BAADA ya vuta nikuvute ya wazazi wa wanafunzi, Hilary na Hamis ‘watoto wa Diamond’ walioshinda katika shindano la kucheza Ngololo mwaka jana na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuahidi kuwasomesha katika shule ya East Africa International iliyopo Mikocheni, Dar huku akishindwa kuwalipia ada na watoto hao kurudishwa nyumbani, hatimaye wamerejeshwa tena shuleni.

Baada ya gazeti hili kuripoti habari...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto wa maskini ‘weupe’ shuleni

Watoto katika familia masikini ndio wanaoathirika kwa kiwango kikubwa kwa kushindwa kupata stadi za kuwawezesha kujua kusoma na kuandika wakiwa darasa la pili, ikilinganishwa na watoto waliopo katika familia tajiri.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Shinyanga yaongoza utoro wa watoto shuleni

MKOA wa Shinyanga umetajwa kuongoza kwa kuwa na watoto wengi wasiohudhuria shule ambapo hukimbilia katika uchimbaji wa madini. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu...

 

11 years ago

Habarileo

Watoto watumia uzazi wa mpango shuleni

BAADHI ya watoto wa kike wanaosoma katika shule mbalimbali za sekondari katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wanakiri kutumia uzazi wa mpango wakihofia kukatiza masomo yao kwa kupata ujauzito wakiwa bado shuleni.

 

9 years ago

Habarileo

Watakaoshindwa kupeleka watoto shuleni kukiona

SERIKALI imeonya kuwa itawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka watoto shule na kusisitiza kila mtoto anapaswa kupewa haki ya kupata elimu itakayoanza kutolewa bure kuanzia Januari.

 

10 years ago

GPL

‘WATOTO’ WA DIAMOND WARUDISHWA SHULENI

 ‘Watoto wa Diamond’ Hilary na Hamis. Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha
BAADA ya vuta nikuvute ya wazazi wa wanafunzi, Hilary na Hamis ‘watoto wa Diamond’ walioshinda katika shindano la kucheza Ngololo mwaka jana na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuahidi kuwasomesha katika  shule ya East Africa International iliyopo Mikocheni, Dar huku akishindwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani