Watakaoshindwa kupeleka watoto shuleni kukiona
SERIKALI imeonya kuwa itawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka watoto shule na kusisitiza kila mtoto anapaswa kupewa haki ya kupata elimu itakayoanza kutolewa bure kuanzia Januari.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Nawapongeza Basata kupeleka sanaa shuleni
AHLANWASAHLAN msomaji wa safu ya Busati popote pale ulipo. Wiki iliyopita nilipata mwaliko wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuhudhuria mkakati wa kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji vya sanaa...
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Mtoto adhaniwa kupeleka bomu shuleni
9 years ago
StarTV31 Dec
Serikali za Vijiji kuwachukulia hatua wazazi, walezi wa watoto watakaoshindwa kuhudhuria masomo
Serikali za Vijiji mkoani Singida zimetakiwa kuhakikisha kuwa zinawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi wa watoto watakaoshindwa kuhudhuria masomo hadi kuhitimu baada ya kuandikishwa kuanza elimu ya msingi pamoja na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani.
Mkuu wa mkoa huo Dokta Parseko Kone ametoa agizo hilo baada ya kubainika kuwa katika Wilaya ya Mkalama pekee, jumla ya wanafunzi 383 wa shule za Msingi na Sekondari wameacha masomo yao kwa kipindi cha kuanzia Januari...
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Wanaowadhalilisha Watoto kukiona UK
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Wazazi wahamasishwa kupeleka watoto seminari
WAZAZI na walezi mkoani hapa, wametakiwa kupeleka watoto wao kwenye shule za seminari ili waweze kupata elimu bora na maadili yatakayowasaidia katika maisha yao. Wito huo umetolewa hivi karibuni mkoani...
9 years ago
Habarileo25 Sep
Akirejea bungeni wabakaji watoto kukiona
MGOMBEA ubunge wa Same Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, amesema iwapo atapata ridhaa tena ya kuwa mbunge wa jimbo hilo, atapambana na baadhi ya watu wanaoendekeza vitendo vya ubakaji kwa watoto.
9 years ago
StarTV28 Dec
Wazazi, walezi waagizwa kupeleka watoto shule
Serikali imewaagiza wazazi na walezi mkoani Tabora kuwapeleka shule watoto wote wenye umri wa kwenda shule kwa kuwa hakuna pingamizi lolote baada ya Serikali kubeba jukumu la kulipia ada na michango mingine kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari.
Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kapunze Kata ya Ikomwa Manispaa ya Tabora, Mkuu wa mkoa huo Ludovick Mwananzila amesema Serikali imezitambua kaya masikini na kuzipatia ruzuku inayowezesha kuwahudumia watoto wao na kuongeza mahudhurio...
10 years ago
Habarileo20 Oct
‘Saidieni wake zenu kupeleka watoto chanjo’
WANAUME wametakiwa kuwasaidia wake zao kupeleka watoto katika vituo vilivyochaguliwa kutolea chanjo ya surua na rubella ili kuhakikisha watoto wote wanapatiwa chanjo hiyo.
11 years ago
Habarileo15 Apr
Mkapa ahimiza wafugaji kupeleka watoto shule
RAIS mstaafu Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka jamii ya wafugaji wa Kimasai wilayani Monduli mkoani Arusha kuhakikisha inapeleka watoto wao.