‘Saidieni wake zenu kupeleka watoto chanjo’
WANAUME wametakiwa kuwasaidia wake zao kupeleka watoto katika vituo vilivyochaguliwa kutolea chanjo ya surua na rubella ili kuhakikisha watoto wote wanapatiwa chanjo hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
Watoto 4000 kupatiwa chanjo katika Wiki ya Chanjo — Parseko Kone, Singida
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua utoaji wa chanjo kimkoa katika hospitali ya St.Calorus iliyopo kijiji cha Mtinko. Jumla ya watoto 3,999 wanatarajiwa kupatiwa chanjo mbalimbali.
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza na wakazi wa tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi la chanjo kimkoa lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika Aprili 30 mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu
JUMLA ya watoto 3,999 mkoani...
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
‘Wanawake, watoto tambueni haki zenu’
WANAWAKE na watoto wametakiwa kuzitambua haki zao za kimsingi katika jamii ili kuepukana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyokithiri wilayani Karagwe. Mkurugenzi Mtendaji wa asasi isiyo ya kiserikali ya...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
‘Wanaume mnaopigwa na wake zenu jitokezeni’
9 years ago
Habarileo30 Nov
Watakaoshindwa kupeleka watoto shuleni kukiona
SERIKALI imeonya kuwa itawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka watoto shule na kusisitiza kila mtoto anapaswa kupewa haki ya kupata elimu itakayoanza kutolewa bure kuanzia Januari.
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Wazazi wahamasishwa kupeleka watoto seminari
WAZAZI na walezi mkoani hapa, wametakiwa kupeleka watoto wao kwenye shule za seminari ili waweze kupata elimu bora na maadili yatakayowasaidia katika maisha yao. Wito huo umetolewa hivi karibuni mkoani...
11 years ago
Habarileo15 Apr
Mkapa ahimiza wafugaji kupeleka watoto shule
RAIS mstaafu Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa ametaka jamii ya wafugaji wa Kimasai wilayani Monduli mkoani Arusha kuhakikisha inapeleka watoto wao.
9 years ago
StarTV28 Dec
Wazazi, walezi waagizwa kupeleka watoto shule
Serikali imewaagiza wazazi na walezi mkoani Tabora kuwapeleka shule watoto wote wenye umri wa kwenda shule kwa kuwa hakuna pingamizi lolote baada ya Serikali kubeba jukumu la kulipia ada na michango mingine kuanzia elimu ya msingi hadi sekondari.
Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kapunze Kata ya Ikomwa Manispaa ya Tabora, Mkuu wa mkoa huo Ludovick Mwananzila amesema Serikali imezitambua kaya masikini na kuzipatia ruzuku inayowezesha kuwahudumia watoto wao na kuongeza mahudhurio...
10 years ago
Habarileo01 Apr
Wahukumiwa kwa kushindwa kupeleka watoto wao shule
WAZAZI 19 wa wanafunzi walioshindwa kuripoti kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo wa 2014/2015 wamehukumiwa kifungo cha nje cha miezi mitatu kila mmoja kutokana na kosa la kushindwa kuwapeleka watoto wao shuleni.
10 years ago
Mwananchi18 Oct
Watoto wapelekwe kupatiwa chanjo