Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto wapelekwe kupatiwa chanjo

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa zaidi ya nusu ya wananchi wa Tanzania, walitarajiwa kuanza kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella katika vituo vyote vya afya hapa nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Watoto 4000 kupatiwa chanjo katika Wiki ya Chanjo — Parseko Kone, Singida

DSC07952

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua utoaji wa chanjo kimkoa katika hospitali ya St.Calorus iliyopo kijiji cha Mtinko. Jumla ya watoto 3,999 wanatarajiwa kupatiwa chanjo mbalimbali.

DSC07953

DSC07970

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza na wakazi wa tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi la chanjo kimkoa lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika Aprili 30 mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu

JUMLA ya watoto 3,999 mkoani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Watoto zaidi ya 66,442 mkoani Singida kupatiwa chanjo mpya ya Malaria na Rubella

DSC01456

Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizindua zoezi la chanjo mpya ya Malaria na Rubella kwa manispaa ya Singida.Uzinduzi huo umefanyika kwenye kituo cha afya cha Sokoine mjini Singida. Pamoja na chanjo ya Malaria na Rubella, pia dawa za minyoo na mabusha zilitolewa.

Na Nathaniel Limu, Singida

HALMASHAURI ya manispaa ya Singida, inatarajia kuchanja watoto 66,422, chanjo mpya ya Malaria na Rubella  wakati wa kampeni ya kitaifa inayoanza jana  Oktoba 18 hadi 24 mwaka huu.

Hayo yamesemwa...

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana kupatiwa chanjo ya saratani ya uzazi

CHANJO ya kuzuia saratani ya mlango wa uzazi, iko mbioni kutolewa na serikali kwa wasichana walio shuleni.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahabusi ya watoto Tanga kupatiwa fedha

Afya-1

Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Nsachris Mwamwaja akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kuhusiana na habari iliyochapishwa na gazeti la Majira toleo Na. 7524 Vol.II/5624 la Jumatano Agosti 13, mwaka huu yenye kichwa cha habari “Mahabusu ya watoto yadaiwa mil. 1/=”. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Frank Mvungi. (Picha na Maktaba).

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Serikali imetenga fedha zitagawiwa kwenye vituo vyote vinavyotoa ushauri nasaha na kurekebisha watoto...

 

10 years ago

Michuzi

Mahabusu ya watoto Tanga kupatiwa fedha

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Serikali imetenga fedha zitagawiwa kwenye vituo vyote vinavyotoa ushauri nasaha na kurekebisha watoto walio chini ya umri wa miaka 18 vilivyo chini ya Idara ya Ustawi wa jamii nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii  Nsachris Mwamwaja kufuatia habari iliyochapishwa na gazeti la Majira toleo Na. 7524 Vol.II/5624 la Jumatano Agosti 13, mwaka huu yenye kichwa cha habari “Mahabusu ya watoto yadaiwa mil. 1/=”.
“Ni kweli tatizo hilo lipo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wagoma kuwapeleka watoto kupata chanjo

Chanjo ya surua na rubella katika baadhi ya maeneo wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani imekumbwa na changamoto mbalimbali, ikiwamo ya baadhi ya wananchi kugoma kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya kwa madai kuwa dawa hizo zinatolewa na ‘Freemason’ ili kuwafunga vizazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto 5,000 kupata chanjo Arusha

Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imeanza kutekeleza kazi ya kutoa chanjo dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa watoto zaidi 5,000 wa jamii ya wafugaji wa Kimasai wanaoishi katika kata saba za Tarafa ya Ngorongoro zilizoko ndani ya eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCCA). 

 

10 years ago

Habarileo

‘Asilimia 90 ya watoto wote wanapata chanjo’

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema asilimia 90 ya watoto wote wa Tanzania sasa wanapata chanjo kutokana na kazi inayofanywa na Taasisi ya Kusambaza Chanjo Duniani ya Global Alliance for Vaccines and Immunisazation (GAVI).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto 35,000 kupewa chanjo Bunda

ZAIDI ya watoto 35,000 watapatiwa chanjo ya surua na kifua kikuu katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, katika zoezi lililoanza hivi karibuni baada ya kuzinduliwa katika Wiki ya Chanjo Duniani....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani