Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto 5,000 kupata chanjo Arusha

Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro imeanza kutekeleza kazi ya kutoa chanjo dhidi ya magonjwa yanayozuilika kwa watoto zaidi 5,000 wa jamii ya wafugaji wa Kimasai wanaoishi katika kata saba za Tarafa ya Ngorongoro zilizoko ndani ya eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCCA). 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wagoma kuwapeleka watoto kupata chanjo

Chanjo ya surua na rubella katika baadhi ya maeneo wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani imekumbwa na changamoto mbalimbali, ikiwamo ya baadhi ya wananchi kugoma kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya kwa madai kuwa dawa hizo zinatolewa na ‘Freemason’ ili kuwafunga vizazi.

 

11 years ago

Michuzi

CHATO WAASWA KUJITOKEZA KUWAPELEKA WATOTO KUPATA CHANJO

 Jamii wilayani Chato imeaswa kutambua umuhimu na kuwapeleka watoto kupata chanjo kwenye hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati kwa muda muafaka.  Wito huo umetolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa bodi ya Afya Wilayani Chato Bw. Edward Buhile ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa wiki ya Chanjo iliyofanyika hivi karibuni katika hospitali ya Wilaya ya Chato.  Bw. Buhile amesema kumekuwa na tabia ya wazazi kutokuwapeleka watoto kupata chanjo kitendo ambacho si kizuri kwani chanjo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto 35,000 kupewa chanjo Bunda

ZAIDI ya watoto 35,000 watapatiwa chanjo ya surua na kifua kikuu katika Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, katika zoezi lililoanza hivi karibuni baada ya kuzinduliwa katika Wiki ya Chanjo Duniani....

 

11 years ago

Dewji Blog

Watoto 4000 kupatiwa chanjo katika Wiki ya Chanjo — Parseko Kone, Singida

DSC07952

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua utoaji wa chanjo kimkoa katika hospitali ya St.Calorus iliyopo kijiji cha Mtinko. Jumla ya watoto 3,999 wanatarajiwa kupatiwa chanjo mbalimbali.

DSC07953

DSC07970

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza na wakazi wa tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi la chanjo kimkoa lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika Aprili 30 mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu

JUMLA ya watoto 3,999 mkoani...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Dunia ilivyokosa fursa ya kupata chanjo ya ugonjwa wa Covid-19

Mwaka 2002, mji wa China wa Guangzhou, kirusi kisichojulikana kilisababishwa mlipuko wa ugonjwa mbaya ambao wanasayansi waliupatia jina la SARS linalomaanisha ugonjwa wa matatizo ya kupumua.

 

10 years ago

Mwananchi

Watoto wapelekwe kupatiwa chanjo

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa zaidi ya nusu ya wananchi wa Tanzania, walitarajiwa kuanza kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa surua na rubella katika vituo vyote vya afya hapa nchini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

IMG_6448

Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar(Zanchick) Bw.Issa Khasim Issa akikabidhi chanjo 600,000 zenye thamani ya Tshs 9,000,000 kwa  Naibu katibu katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Omar Ali Amir kwa  ajili ya kuwalinda kuku na ugonjwa wa Mdondo,  anayeshuhudia kulia Mkurugenzi katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Yusuf Hajj Khamis.

Kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar, Zanchick, leo imetoa chanjo 600,000 zilizo na thamani ya Tshs 9,000,000 kwa wafugaji kuku kwa ajili ya kuwalinda kuku wao na ugonjwa wa Mdondo. Utoaji wa chanjo hizo ulifanyika kwa msaada wa wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar ambao wata ratibu na kusimamia zoezi zima.
Meneja wa Uendeshaji, kutoka Zanchick, Bwana Christopher Kontonasios alisema: “Tunashukuru Wizara ya Ufugaji na Uvuvi kwa kuwa washiriki wakubwa katika ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wafa kwa chanjo Syria

Taaarifa kutoka syria zinasema zaidi ya watoto kumi na mbili wamekufa na wengine kuugua baada ya kupewa chonjo ya surua.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani