Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar
![](http://3.bp.blogspot.com/-P8v6sd3M26k/VFicplXPwJI/AAAAAAAGvY4/hMFlb2PKJcM/s72-c/IMG_6448.jpg)
Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar, Zanchick, leo imetoa chanjo 600,000 zilizo na thamani ya Tshs 9,000,000 kwa wafugaji kuku kwa ajili ya kuwalinda kuku wao na ugonjwa wa Mdondo. Utoaji wa chanjo hizo ulifanyika kwa msaada wa wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar ambao wata ratibu na kusimamia zoezi zima.
Meneja wa Uendeshaji, kutoka Zanchick, Bwana Christopher Kontonasios alisema: “Tunashukuru Wizara ya Ufugaji na Uvuvi kwa kuwa washiriki wakubwa katika ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 Nov
Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar(Zanchick) Bw.Issa Khasim Issa akikabidhi chanjo 600,000 zenye thamani ya Tshs 9,000,000 kwa Naibu katibu katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Omar Ali Amir kwa ajili ya kuwalinda kuku na ugonjwa wa Mdondo, anayeshuhudia kulia Mkurugenzi katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Yusuf Hajj Khamis.
Kampuni...
11 years ago
Habarileo24 Jun
SUA ya kwanza duniani kugundua chanjo ya kuku
WAFUGAJI wa kuku nchini wataanza kupata neema ya kupata dawa ya mifugo yao kwa bei rahisi, baada ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kugundua chanjo ya kwanza ya kuku duniani dhidi ya ugonjwa wa ndui.
11 years ago
Mwananchi24 Jun
UTAFITI: Mtanzania agundua chanjo ya ndui ya kuku
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-oDiOuaGxb2M/Xr2PYDr9pRI/AAAAAAALqR4/4DtKAWRuWRUMGkK8AhpTPRHFKkVdl2B7ACLcBGAsYHQ/s72-c/f5314237-78f6-454a-8680-7f30a2082329-768x512.jpg)
MUNANTHA MED WATOA ELIMU NA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA WAFUGAJI
Munanta Med pamoja na kutoa elimu hiyo kwenye masoko na minada pia, maofisa watendaji na wenyeviti wa vijiji, viongozi wa kimila, waganga wa jadi na wakunga wamepatiwa mafunzo ya kupambana...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Wafugaji watozwa 3,000/- kwa kila ng’ombe
WAFUGAJI wilayani Kilindi, Tanga, wameitaka serikali kuwatendea haki sawa na wakulima katika kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari za kata. Wakizungumza na Tanzania Daima jana, wafugaji hao walisema...
10 years ago
Dewji Blog16 Dec
THRDC watoa tamko kwa umma juu ya hali ya watetezi wa haki za wafugaji Loliondo
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu THRDC Taifa, Bw. Onesmo Olengurumwa, akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa tamko la kulaani vikali kutishwa kwa watetezi wa haki za wafugaji walioko Loliondo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo uliofanyika kwenye ofisi za kituo hicho jijini Dar es Salaam.
tamko loliondo chragg kiswahili.doc by moblog
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Wafugaji wapatiwa mafunzo kukabiliana na mafua makali ya Kuku na Nguruwe
Mwandishi Wetu Arusha
Zaidi ya wafugaji 300 wa Kuku na mifugo mbalimbali na wafanyabishara wa maduka ya madawa ya kilimo na mifugo wamepatiwa mafunzo ya utumiaji dawa mbalimbali za kutibu mifugo ya aina mbalimbali na virutubisho mbalimbali vinavyotolewa na kampuni ya BYTRADE (T) LTD ilikukwepa magonjwa ya mafuwa na aina nyingine za magonjwa na virutubisha vya mifugo.
Akizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo wafugaji na wauza dawa za mifugo mkuu wa idara ya wanyama wa kampuni ya...
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Zanchick yamwaga ajira Zanzibar
ZAIDI ya Wazanzibari 300 wamepata ajira katika Kampuni ya Zanchick, inayojishughulisha na uingizaji malighafi ya nyama ya kuku Zanzibar kutoka Marekani. Akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea kampuni hiyo hivi...
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Zanchick mkombozi wa wafanyabiashara Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeanzisha mikakati mbalimbali ambayo lengo lake ni kuvutia wawekezaji ambao watasaidia wananchi katika kuwakomboa kiuchumi na kukuza biashara zao. Miongoni mwa mikakati hiyo ni pamoja na...