Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji wapatiwa mafunzo kukabiliana na mafua makali ya Kuku na Nguruwe

farm-chicken-412

Mwandishi Wetu Arusha

Zaidi ya wafugaji 300 wa Kuku na mifugo mbalimbali na wafanyabishara wa maduka ya madawa ya kilimo na mifugo wamepatiwa mafunzo ya utumiaji dawa mbalimbali za kutibu mifugo ya aina mbalimbali na virutubisho mbalimbali vinavyotolewa na kampuni ya BYTRADE (T) LTD ilikukwepa magonjwa ya mafuwa na aina nyingine za magonjwa na virutubisha vya mifugo.

Akizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo wafugaji na wauza dawa za mifugo mkuu wa idara ya wanyama wa kampuni ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU PROFESA OLE GABRIEL AFUNGUA MKUTANO WA VYAMA VYA WAFUGAJI WA KUKU, NGURUWE

Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo nchini Tanzania, Profesa Elisante Ole Gabriel amesema wanatarajia kuanzisha kliniki za kutoa ushauri wa ufugaji katika kila Halmashauri ili kuongeza thamani ya ngozi inayozalishwa.

Profesa Gabriel ameyasema hayo  leo Jumamosi Machi 7, 2020  wakati wa kufungua mkutano wa wadau mbalimbali wa sekta Mifugo  jijini Dar es Salaam.

Wadau wa Mkutano huo ni  vyama vya Wafugaji Kuku  Nguruwe  pamoja na wadau wa ngozi uliolenga kupokea changamoto za  katika Biashara  Biashara...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIMU WA MAFUA MAKALI MAREKANI


Habari kutoka  kituo cha 
kudhibiti magojwa nchini Marekani  “Center for Disease Control” ( CDC) 2014 -2015, inatufahamisha kuhusu kipindi cha mafua makali ( Severe FLU Season). Kipindi hiki kilichotawaliwa  zaidi na virusi vya A H3N2,hujulikana  kwa kuleta homa kali, ongezeko la  wagojwa mahospitalini na hata vifo. CDC inatukumbushia umuhimu wa kila mmoja kupata Chanjo  ya Flu na  tiba ya haraka ya kupamba na  virusi (Anti-viral drugs  treatment)  hasa kwa watu walio na kinga hafifu....

 

11 years ago

BBCSwahili

Fanya mazoezi makali uzuie Mafua

Kufanya mazoezi makali katika kipindi cha saa mbili unusu kila wiki kunaweza kukuzuia kushikwa na mafua.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je,wadudu wanafaa kuwa chakula cha nguruwe na kuku

Wanasayansi wa Ulaya wameanzisha utafiti rasmi kuamua iwapo kuwalisha ngurue na kuku wadudu ni salama kwa afya zao na walaji.

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO LA CHANJO YA MAFUA MAKALI KUTOKA KAMATIYA AFYA DMV


KAMATI YA AFYA  DMVINATUKUMBUSHIA KUCHUKUWA  TAHADHARI KWA MAFUA MAKALI KWA KUPATA CHANJO YA MAFUA  SASA Mafua/influenza (Flu) ni ugojwa wa kuambukiza (contagious disease) ambao husambaa hapa marekani wakati wa masika kati ya mwezi wa 5 na mwezi wa 10 .Mafua haya husababishwa na virusi vilivyo katikavya kundi la Influenza1. Influenza A (H1N1), 2. Influenza A (H3N2)3. Influenza B.Maambukizi ya   Ifluenza A & B hupatikana pale unapokuwa karibu na mtu mwenye flu kupitia kukohoa, chafya au...

 

9 years ago

Dewji Blog

Nchi za Afrika zimeaswa kuimarisha mawasiliano katika utoaji wa taarifa zinazohusiana na magonjwa ya mafua makali

01.

Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchi Kenya, Dkt. Custodia Mandlhate akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya inayohusu namna ya kuimarisha mawasiliano na utoaji wa taarifa sahihi zinazohusiana na magonjwa ya mafua makali katika ukanda wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa siku tatu unaoendelea jijini Nairobi.

02

Baadhi ya washiriki wa semina ya inayohusu namna ya kuimarisha mawasiliano na utoaji wa taarifa sahihi zinazohusiana na magonjwa ya mafua makali katika ukanda wa nchi...

 

10 years ago

Michuzi

WAFUGAJI WAPATIWA NA TAWLA ELIMU YA KISHERIA NA USHAURI

Mwenyekiti wa wasaidizi wa kisheria wilaya ya Monduli Mkoani Arusha, Ibramih Melita akizungumza na wafugaji wa kijiji cha Nanja kwenye mafunzo ya kujengewa uwezo wa kisheria yaliyotolewa na Chama cha wanawake wanasheria nchini (TAWLA) jana. Askari wa dawati la jinsia na watoto wa Mkoa wa Arusha, Baltazar Kitiku akizungumza na jamii ya wafugaji wa Kijiji Cha Nanja, Kata ya Lepruko Wilayani Monduli Mkoani humo, kuhusiana na kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia kwenye mafunzo yaliyotolewa na...

 

10 years ago

Michuzi

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar, Zanchick, leo imetoa chanjo 600,000 zilizo na thamani ya Tshs 9,000,000 kwa wafugaji kuku kwa ajili ya kuwalinda kuku wao na ugonjwa wa Mdondo. Utoaji wa chanjo hizo ulifanyika kwa msaada wa wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar ambao wata ratibu na kusimamia zoezi zima.
Meneja wa Uendeshaji, kutoka Zanchick, Bwana Christopher Kontonasios alisema: “Tunashukuru Wizara ya Ufugaji na Uvuvi kwa kuwa washiriki wakubwa katika ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

IMG_6448

Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar(Zanchick) Bw.Issa Khasim Issa akikabidhi chanjo 600,000 zenye thamani ya Tshs 9,000,000 kwa  Naibu katibu katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Omar Ali Amir kwa  ajili ya kuwalinda kuku na ugonjwa wa Mdondo,  anayeshuhudia kulia Mkurugenzi katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Yusuf Hajj Khamis.

Kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani