TANGAZO LA CHANJO YA MAFUA MAKALI KUTOKA KAMATIYA AFYA DMV
![](http://2.bp.blogspot.com/-tOewzHQxuJ0/UsRgTjbQcXI/AAAAAAAADHw/Lf3-tBifTTw/s72-c/logo.jpg)
KAMATI YA AFYA DMVINATUKUMBUSHIA KUCHUKUWA TAHADHARI KWA MAFUA MAKALI KWA KUPATA CHANJO YA MAFUA SASA
Mafua/influenza (Flu) ni ugojwa wa kuambukiza (contagious disease) ambao husambaa hapa marekani wakati wa masika kati ya mwezi wa 5 na mwezi wa 10 .Mafua haya husababishwa na virusi vilivyo katikavya kundi la Influenza1. Influenza A (H1N1), 2. Influenza A (H3N2)3. Influenza B.Maambukizi ya Ifluenza A & B hupatikana pale unapokuwa karibu na mtu mwenye flu kupitia kukohoa, chafya au...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo12 Dec
MSIMU WA MAFUA MAKALI MAREKANI
Habari kutoka kituo cha
kudhibiti magojwa nchini Marekani “Center for Disease Control” ( CDC) 2014 -2015, inatufahamisha kuhusu kipindi cha mafua makali ( Severe FLU Season). Kipindi hiki kilichotawaliwa zaidi na virusi vya A H3N2,hujulikana kwa kuleta homa kali, ongezeko la wagojwa mahospitalini na hata vifo. CDC inatukumbushia umuhimu wa kila mmoja kupata Chanjo ya Flu na tiba ya haraka ya kupamba na virusi (Anti-viral drugs treatment) hasa kwa watu walio na kinga hafifu....
11 years ago
BBCSwahili17 Mar
Fanya mazoezi makali uzuie Mafua
11 years ago
Dewji Blog23 Apr
Wafugaji wapatiwa mafunzo kukabiliana na mafua makali ya Kuku na Nguruwe
Mwandishi Wetu Arusha
Zaidi ya wafugaji 300 wa Kuku na mifugo mbalimbali na wafanyabishara wa maduka ya madawa ya kilimo na mifugo wamepatiwa mafunzo ya utumiaji dawa mbalimbali za kutibu mifugo ya aina mbalimbali na virutubisho mbalimbali vinavyotolewa na kampuni ya BYTRADE (T) LTD ilikukwepa magonjwa ya mafuwa na aina nyingine za magonjwa na virutubisha vya mifugo.
Akizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo wafugaji na wauza dawa za mifugo mkuu wa idara ya wanyama wa kampuni ya...
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
Nchi za Afrika zimeaswa kuimarisha mawasiliano katika utoaji wa taarifa zinazohusiana na magonjwa ya mafua makali
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchi Kenya, Dkt. Custodia Mandlhate akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya inayohusu namna ya kuimarisha mawasiliano na utoaji wa taarifa sahihi zinazohusiana na magonjwa ya mafua makali katika ukanda wa nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa siku tatu unaoendelea jijini Nairobi.
Baadhi ya washiriki wa semina ya inayohusu namna ya kuimarisha mawasiliano na utoaji wa taarifa sahihi zinazohusiana na magonjwa ya mafua makali katika ukanda wa nchi...
10 years ago
VijimamboMadaktari kutoka Washington Diaspora Walioletwa na Jumuiya ya Watanzania DMV Watoa Hudua ya Afya Hospitali ya Mnazi Mmoja
9 years ago
Vijimambo24 Sep
TANGAZO LA KISOMO DMV
Ndugu yetu Majid Zuberi anatuarifu Kisomo cha Hitima za Marehemu Mdogo Wake Abu Twalibu Zuberi Kajwangya Na Mama Mlezi Rehema Kajwangya misiba yote imetokea Kanyigo Bukoba.
Siku ya Jumamosi September 26, 2015Kuanzia Saa Kumi na Mbili jioni hadi Saa Tatu usiku (6PM – 9PM)
Anuani:Indian Spring Terrace Local Park9717 Lawndale Dr.Silver Spring, MD 20901
Kama Ilivyo ada, tunawaomba WaTanzania na Wana Jumuia wote wa hapa DMV tujumuike kwa Pamoja.
Ukipata Taarifa hii Tafadhali Mjulishe na Mwenzio.
Kwa...
10 years ago
Vijimambo12 Jun
TANGAZO LA HARUSI DMV
Kwa wale ambao mlikuwa hamfahamu, samahani kwa ujumbe kuwafikieni ukiwa umechelewa. Lakini kama wenzetu wasemavyo, "better late than never".
Jamani shughuli ni watu, na watu ndo sisi. Basi tujumuike tumsaidie Boaz kufanikisha shughuli hii. Asanteni sana.
Kwa habari zaidi na...
10 years ago
Vijimambo17 Apr
TANGAZO LA MSIBA DMV NA TANZANIA
Hapa DMV msiba upo 706 Chillum Rd, Apt 201, Hyttsville, MD 20783
Kupena pole na kufarijiana ndio malezi tuliyokulia ikiwemo upendo na ukarimu. Ukipata muda tafadhali pitia nyumbani kwa mfiwa utoe mkono wa pole au unaweza kumpigia simu 301 272 5922
Bwana ametoa, bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
10 years ago
Vijimambo09 Jan
TANGAZO MAALUM: UFUNGUZI RASMI WA DARASA LA KISWAHILI DMV.
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania unapenda kuwatangazia watanzania wote wanaoishi maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia kuhusu Madarasa ya Kiswahili yatakayoanza rasmi tarehe 24 January, 2015.
White Oak Community Recreation Center,1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904 Kuanzia tarehe 24/1/2015 Saa 9 mchana – 11 Jioni kila Jumamosi
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
Kwa maelezo zaidi wasiliana na viongozi wafuatao:
Rais- Iddy Sandaly (301) 613-5165Makamu wa Rais – Harriet...