TANGAZO LA HARUSI DMV
Ndugu na rafiki watanzania wenzetu, tunafurahi kuwatangazia kwamba ndugu yetu, kijana wetu, mtanzania mwenzetu Boaz Kusaga anapata jiko karibuni. Bi. Harusi anaitwa Ngina Durva. Kufunga ndoa na sherehe vitafanyika July 26.
Kwa wale ambao mlikuwa hamfahamu, samahani kwa ujumbe kuwafikieni ukiwa umechelewa. Lakini kama wenzetu wasemavyo, "better late than never".
Jamani shughuli ni watu, na watu ndo sisi. Basi tujumuike tumsaidie Boaz kufanikisha shughuli hii. Asanteni sana.
Kwa habari zaidi na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo24 Sep
TANGAZO LA KISOMO DMV
Ndugu yetu Majid Zuberi anatuarifu Kisomo cha Hitima za Marehemu Mdogo Wake Abu Twalibu Zuberi Kajwangya Na Mama Mlezi Rehema Kajwangya misiba yote imetokea Kanyigo Bukoba.
Siku ya Jumamosi September 26, 2015Kuanzia Saa Kumi na Mbili jioni hadi Saa Tatu usiku (6PM – 9PM)
Anuani:Indian Spring Terrace Local Park9717 Lawndale Dr.Silver Spring, MD 20901
Kama Ilivyo ada, tunawaomba WaTanzania na Wana Jumuia wote wa hapa DMV tujumuike kwa Pamoja.
Ukipata Taarifa hii Tafadhali Mjulishe na Mwenzio.
Kwa...
10 years ago
Vijimambo17 Apr
TANGAZO LA MSIBA DMV NA TANZANIA
Hapa DMV msiba upo 706 Chillum Rd, Apt 201, Hyttsville, MD 20783
Kupena pole na kufarijiana ndio malezi tuliyokulia ikiwemo upendo na ukarimu. Ukipata muda tafadhali pitia nyumbani kwa mfiwa utoe mkono wa pole au unaweza kumpigia simu 301 272 5922
Bwana ametoa, bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
10 years ago
Vijimambo09 Jan
TANGAZO MAALUM: UFUNGUZI RASMI WA DARASA LA KISWAHILI DMV.
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania unapenda kuwatangazia watanzania wote wanaoishi maeneo ya Washington DC, Maryland na Virginia kuhusu Madarasa ya Kiswahili yatakayoanza rasmi tarehe 24 January, 2015.
White Oak Community Recreation Center,1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904 Kuanzia tarehe 24/1/2015 Saa 9 mchana – 11 Jioni kila Jumamosi
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
Kwa maelezo zaidi wasiliana na viongozi wafuatao:
Rais- Iddy Sandaly (301) 613-5165Makamu wa Rais – Harriet...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-tOewzHQxuJ0/UsRgTjbQcXI/AAAAAAAADHw/Lf3-tBifTTw/s72-c/logo.jpg)
TANGAZO LA CHANJO YA MAFUA MAKALI KUTOKA KAMATIYA AFYA DMV
![](http://2.bp.blogspot.com/-tOewzHQxuJ0/UsRgTjbQcXI/AAAAAAAADHw/Lf3-tBifTTw/s1600/logo.jpg)
KAMATI YA AFYA DMVINATUKUMBUSHIA KUCHUKUWA TAHADHARI KWA MAFUA MAKALI KWA KUPATA CHANJO YA MAFUA SASA
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-cUWOpn80_kg/VD952RMWqVI/AAAAAAADJ1w/Zi32YIiXJXE/s72-c/TangazolaMisa-KuadhimishaMiakaTanoyaJumuiyaOctober262014%2B(1)_0001.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-F9hpq0MjsrQ/VQpUd2WBhnI/AAAAAAAHLYA/hFkYVbsZLaM/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
11 years ago
Michuzi22 Jul
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]
The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.