Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanchick yamwaga ajira Zanzibar

ZAIDI ya Wazanzibari 300 wamepata ajira katika Kampuni ya Zanchick, inayojishughulisha na uingizaji malighafi ya nyama ya kuku Zanzibar kutoka Marekani. Akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea kampuni hiyo hivi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Zanchick mkombozi wa wafanyabiashara Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeanzisha mikakati mbalimbali ambayo lengo lake ni kuvutia wawekezaji ambao watasaidia wananchi katika kuwakomboa kiuchumi na kukuza biashara zao. Miongoni mwa mikakati hiyo ni pamoja na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uhamiaji yamwaga ajira kindugu

IDARA ya Uhamiaji imekumbwa na kashfa nyingine ya kuajiri watoto na ndugu wa vigogo wa idara hiyo. Hayo yalibainika baada ya idara hiyo kutoa matangazo katika vyombo mbalimbali vya habari...

 

10 years ago

Habarileo

Kampuni ya simu yamwaga ajira 2,000

KAMPUNI ya simu ya Viettel ya Vietnam inayokua kwa kasi duniani ambayo sasa inahamishia nguvu zake katika soko la Tanzania, imetangaza ajira kwa wasomi wa Tanzania zaidi ya 2,000.

 

5 years ago

CCM Blog

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAMWAGA AJIRA KKWA MADAKTARI 610


Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imewataka Madaktari wapya 610 ambao wameajiriwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi walivyopangiwa kuanzia Mei 11 hadi 25 Mwaka huu wakiwa na nyaraka zao zote muhimu.
Agizo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo wakati akitangaza ajira hizo za madaktari kwa Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati nchini.
Tangazo la ajira za madaktari hao zilitolewa Machi mwaka huu ambayo mchakato wa kuwapata ulifanyika...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZANCHICK,IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue)kutoka Marekani Dk.David Elua akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue) kutoka Marekani unaoongozwa na ...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA YAMWAGA AJIRA 307 ZA WATUMISHI WA AFYA.




Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akieleza jambo wakati wa kikao na Waandishi wa habari, kilichofanyika Jinjini Dodoma.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na Waandishi wa habari.

Mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Benjamin Mkapa Dkt. Ellen Mkondya akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari, katika Mkutano ulioongozwa na Waziri wa Afya leo Jijini Dodoma.



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAMWAGA AJIRA 610 ZA MADAKTARI, WAKURUGENZI WAONYWA KUWABADILISHIA VITUO

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imewataka Madaktari wapya 610 ambao wameajiriwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi walivyopangiwa kuanzia Mei 11 hadi 25 Mwaka huu wakiwa na nyaraka zao zote muhimu.

Agizo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo wakati akitangaza ajira hizo za madaktari kwa Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati nchini.

Tangazo la ajira za madaktari hao zilitolewa Machi mwaka huu ambayo mchakato wa kuwapata ulifanyika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

IMG_6448

Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar(Zanchick) Bw.Issa Khasim Issa akikabidhi chanjo 600,000 zenye thamani ya Tshs 9,000,000 kwa  Naibu katibu katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Omar Ali Amir kwa  ajili ya kuwalinda kuku na ugonjwa wa Mdondo,  anayeshuhudia kulia Mkurugenzi katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Yusuf Hajj Khamis.

Kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani