Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanchick mkombozi wa wafanyabiashara Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imeanzisha mikakati mbalimbali ambayo lengo lake ni kuvutia wawekezaji ambao watasaidia wananchi katika kuwakomboa kiuchumi na kukuza biashara zao. Miongoni mwa mikakati hiyo ni pamoja na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Zanchick yamwaga ajira Zanzibar

ZAIDI ya Wazanzibari 300 wamepata ajira katika Kampuni ya Zanchick, inayojishughulisha na uingizaji malighafi ya nyama ya kuku Zanzibar kutoka Marekani. Akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea kampuni hiyo hivi...

 

11 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZANCHICK,IKULU ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue)kutoka Marekani Dk.David Elua akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue) kutoka Marekani unaoongozwa na ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

IMG_6448

Mkurugenzi wa Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar(Zanchick) Bw.Issa Khasim Issa akikabidhi chanjo 600,000 zenye thamani ya Tshs 9,000,000 kwa  Naibu katibu katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Omar Ali Amir kwa  ajili ya kuwalinda kuku na ugonjwa wa Mdondo,  anayeshuhudia kulia Mkurugenzi katika kitengo cha kutoa huduma kwa wanyama kutoka Wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar, Dr.Yusuf Hajj Khamis.

Kampuni...

 

10 years ago

Michuzi

Zanchick watoa msaada wa chanjo 600,000 kwa wafugaji kuku Zanzibar

Kampuni inayojishughulisha na uboreshaji wa kuku Zanzibar, Zanchick, leo imetoa chanjo 600,000 zilizo na thamani ya Tshs 9,000,000 kwa wafugaji kuku kwa ajili ya kuwalinda kuku wao na ugonjwa wa Mdondo. Utoaji wa chanjo hizo ulifanyika kwa msaada wa wizara ya Ufugaji na Uvuvi Zanzibar ambao wata ratibu na kusimamia zoezi zima.
Meneja wa Uendeshaji, kutoka Zanchick, Bwana Christopher Kontonasios alisema: “Tunashukuru Wizara ya Ufugaji na Uvuvi kwa kuwa washiriki wakubwa katika ...

 

11 years ago

Michuzi

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZANCHICK

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza  Kuku  (Perdue)kutoka Marekani  Dk.David Elua akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza  Kuku (Perdue) kutoka Marekani unaoongozwa na ...

 

11 years ago

GPL

DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZANCHICK

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishughulisha na biashara ya kuuza kuku (Perdue) kutoka Marekani Dk. David Elua akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo. Rais wa…

 

10 years ago

Michuzi

Mabalozi na Wafanyabiashara Kutoka Kuala Lumpur watembelea Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima aliwaalika Mabalozi wa nchi mbali mbali kuja kutembelea Tanzania hivi karibuni.
Mabalozi hao kutoka Kuala Lumpur Malaysia walitembelea mbuga za wanayama za Serengeti, Ngorongoro na walifanya ziara mjini Zanzibar.
Mabalozi hao ni Waheshimiwa Viorica na Constantin Nistor (Romania), Stephen Mubiru (Uganda), Dkt. Aziz Ponary Mlima(Tanzania), Isabela Mhlanga( Afrika Kusini), na Bwana Rogatius Shao (Naibu Balozi-Tanzania).Mabalozi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu wapata mkombozi

HATIMAYE serikali imekubali kuanzishwa kwa chombo maalumu kitakachokuwa kinashughulika na masuala ya walimu, ikiwemo nidhamu, ajira na mishahara. Hatua ya kuanzisha chombo hicho inatokana na ushauri wa muda mrefu waliokuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi Tasaf mkombozi Kongwa

NI ukweli usiopingika kuwa Watanzania wengi ni maskini licha ya kuwa taifa lina rasilimali nyingi. Kuthibitisha ukweli huo ni kwamba kuna familia zinakula mlo mmoja kwa siku tena kwa shaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani