DK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZANCHICK
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishughulisha na biashara ya kuuza kuku (Perdue) kutoka Marekani Dk. David Elua akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo. Rais wa…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZANCHICK
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue)kutoka Marekani Dk.David Elua akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue) kutoka Marekani unaoongozwa na ...
10 years ago
MichuziDK. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA ZANCHICK,IKULU ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue)kutoka Marekani Dk.David Elua akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja jana kwa mazungumzo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Kampuni ya ZANCHICK inayojishuhulisha na biashara ya Kuuza Kuku (Perdue) kutoka Marekani unaoongozwa na ...
11 years ago
MichuziDK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA MANIPAL HOSPTAL INDIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Manipal Hospital Ltd,alipotembelea katika Hospitali hiyo akiwa na Ujumbe wake jana,akiwa katika ziara ya siku tisa Nchini India.[Picha na Ramadhan Othman,India.]
Mkurugenzi Mtendaji wa Manipal Hospital Ltd ya Chuo cha kufundishia Madakatari Bw.Rajan Padukone,akitoa maelezo wakati wa Mkutano kati ya Uongozi wa Hospitali na Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...
11 years ago
MichuziDkt. Shein Azungumza na Uongozi Wizara ya Miundombinu Mawasiliano
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Miundimbinu na Mawasiliano katika Utekelezaji wa Mpango kazi wa robo mwaka kutoka Julai-Machi 2013/2014,ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Unguja leo asubuhi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
11 years ago
MichuziDKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA ELIMU,ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana jioni.
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakiwa katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi kwa kipindi cha robo mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba2019 kilichofanyika leo katika ukumbi Ikulu Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA, MAJI NA NISHATI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika Mkutano wa Utekelezaji Mpango kazi kwa Kipindi cha Julai-Disemba 2019, uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. Waziri wa Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati Salama Aboud Talib (katikati) akifafanua jambo katika Mkutano wa Utekelezaji Mpango kazi kwa Kipindi cha Julai-Disemba 2019, kwa Wizara hiyo uliofanyika leo katika ukumbi wa ...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA UJENZI MAWASILIANO NA USAFIRISHAJI ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein , akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar, wakati wa kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 , mkutano uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Dr. Sira...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania