Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wapata mkombozi

HATIMAYE serikali imekubali kuanzishwa kwa chombo maalumu kitakachokuwa kinashughulika na masuala ya walimu, ikiwemo nidhamu, ajira na mishahara. Hatua ya kuanzisha chombo hicho inatokana na ushauri wa muda mrefu waliokuwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Walimu sasa wapata msimamizi mahiri

BUNGE jana lilipitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Walimu, ambayo pamoja na mambo mengine itakuwa na kazi ya kusimamia utumishi wa walimu.

 

10 years ago

Michuzi

SACCOS YA WALIMU MOSHI VIJIJINI WAPATA VIONGOZI WAPYA WA BODI

Mwenyekiti wa Bodi ya Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini,Godlisten Kombe akizungumza wakati wamkutano maalumu wa uchaguzi wa viongozi wa Saccos hiyo pamoja na wajumbe wa bodi.Baadhi ya wanachama wa Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini wakiwa katika mktano huo uliofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MUCO).
Secretariety ya mkutano huo wakihesabu kura kwa ajili ya kupata washindi katika uchaguzi huo ambapo Godlisten Kombe alifanikiwa kutetea kiti chake baada...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa maji mkombozi Ngudu — DC

MKUU wa Wilaya (DC) ya Kwimba, Seleman Mzee,  amesema mradi wa upanuzi wa mtandao wa maji ya Ziwa Victoria kutoka katika Kijiji cha Mhalo hadi mji wa Ngudu wilayani Kwimba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miradi Tasaf mkombozi Kongwa

NI ukweli usiopingika kuwa Watanzania wengi ni maskini licha ya kuwa taifa lina rasilimali nyingi. Kuthibitisha ukweli huo ni kwamba kuna familia zinakula mlo mmoja kwa siku tena kwa shaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Rongai; mkombozi wa wananchi, viwanda

Kwa takriban miaka mitano mfululizo, shamba la Rongai limekuwa likizalisha miti ya ujazo wa mita 20,000 kwa mwaka na imeiingizia Serikali mapato ya wastani wa Sh.4.2 bilioni kwa kipindi chote hicho.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkombozi Benki kusomesha yatima

1

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki Mkombozi Commercial, Edwina Lupembe.

Na Mwandishi wetu

Benki ya Mkombozi nchini imesema kuwa mchango wa kifedha  wanazopata  katika  shughuli za kijamii  umekuwa  wakimafanikio  makubwa  hasa  kupitia  uwekezaji wa sekta ya  elimu  Nchini, kwani  hali  hiyo  inachangia  kwa  kasi  maendeleo  ya Taifa kwa kuwa  na  wataalamu wa Nyanja  mbalimbali wenye  uwezo  mkubwa.

Taasisi  za kifeda  kama  mabenki   wamekuwa ni  wadau  wakubwa  wa mchango  huo,  hivi ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani