Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SACCOS YA WALIMU MOSHI VIJIJINI WAPATA VIONGOZI WAPYA WA BODI

Mwenyekiti wa Bodi ya Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini,Godlisten Kombe akizungumza wakati wamkutano maalumu wa uchaguzi wa viongozi wa Saccos hiyo pamoja na wajumbe wa bodi.Baadhi ya wanachama wa Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini wakiwa katika mktano huo uliofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MUCO).
Secretariety ya mkutano huo wakihesabu kura kwa ajili ya kupata washindi katika uchaguzi huo ambapo Godlisten Kombe alifanikiwa kutetea kiti chake baada...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

KCU wapata viongozi wapya

CHAMA Kikuu cha Ushirika Mkoa Kagera (KCU 1990) Ltd, kimewachagua viongozi wapya huku wa zamani wakitoshwa katika mkutano mkuu maalum uliofanyika mjini hapa, juzi. Uchaguzi huo umefanyika chini ya usimamizi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtandao wa wakulima wapata viongozi wapya

Mjumbe wa lililokuwa Bunge la Katiba, Veronica Sophu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania (Mviwata).

 

11 years ago

Michuzi

Viongozi wapya wa Ikulu SACCOS Wakabidhi Ripoty ya Utendaji kwa Katibu mkuu kiongozi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Watatu kushoto) akiwa pamoja na Viongozi wa Ikulu SACCOS wakati walipokwenda kujitambulisha na kukabidhi ripoti ya utendaji ofisini kwake ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa SACCOS hiyo Bwana Theofrid Kikombele, Wapili kushoto ni Katibu wa SACCOS hiyo Bwana David Kivembele na kulia ni mshauri mkuu wa SACCOS hiyo Bwana Joseph Sanga. 
Viongozi wa Ikulu Saccos wakiwa kwenye mkutano na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni...

 

11 years ago

Michuzi

JIMBO LA KIGAMBONI WAPATA VIONGOZI WAPYA WA CCM

Mgeni rasmi ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Temeke Ndugu Yahaya Sikunjema akifungua rasmi mkutano wa CCM wa uchaguzi wa jimbo la kigamboni mbele ya Wajumbe wa mkutano huo. Kutoka kushoto kwenye meza kuu ni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Ndugu Faustine Ndugulile, Katibu wa wilaya Temeke, Ndugu Robert Kilenge. Picha na Emmanuel J. Shilatu Mgombea pekee wa nafasi ya Uenyekiti wa jimbo Ndugu Isack Mahela akiomba kura mbele ya wajumbe 60 waliohudhuria mkutano wa uchaguzi wa jimbo la...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA Tanga Mjini wapata viongozi wapya

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Tanga kimepata viongozi wapya watakaokiongoza kwa miaka mitano ijayo katika uchaguzi uliyofanyika kwenye ukumbi wa maktaba ya Mkoa, juzi. Uchaguzi huo ulisimamiwa...

 

10 years ago

Michuzi

WANACHAMA WA TUICO TAWI LA MUWSA ,WAPATA VIONGOZI WAPYA

Viongozi na wananchma wa Chama cha Wafanyakazi TUICO tawi la MUWSA wakiimba wimbo wa Solidarity.Viongozi wapya wa Chama cha Wafanyakazi (TUICO) tawi la MUWSA wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuchaguliwa kuongoza tawi hilo kwa kipindi cha miaka mitano. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

WAENDESHA BODABODA JIJI LA MBEYA WAPATA VIONGOZI WAPYA

Baadhi ya waendesha Bodaboda jiji la Mbeya wakiwa wamekusanyika kujiandaa kuchagua viongozi watakaowaongoza uchaguzi huo ulifanyika katika kiwanja cha Luanda Nzovwe jijini Mbeya.…

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA TANZANIA WANAOSOMA CHINA WAPATA VIONGOZI WAPYA‏

Viongozi wapya waliochaguliwa katika mkutano mkuu wakiwa katika picha ya pamoja ikiwa ni kumbukumbu ya uchaguzi huo.
Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Beijing nchini China wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo na kuwapata viongozi wapya baada ya kuchaguliwa kuongoza Jumuiya hiyo kwa mwaka…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani