Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wapya wa Ikulu SACCOS Wakabidhi Ripoty ya Utendaji kwa Katibu mkuu kiongozi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Watatu kushoto) akiwa pamoja na Viongozi wa Ikulu SACCOS wakati walipokwenda kujitambulisha na kukabidhi ripoti ya utendaji ofisini kwake ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa SACCOS hiyo Bwana Theofrid Kikombele, Wapili kushoto ni Katibu wa SACCOS hiyo Bwana David Kivembele na kulia ni mshauri mkuu wa SACCOS hiyo Bwana Joseph Sanga. 
Viongozi wa Ikulu Saccos wakiwa kwenye mkutano na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI AFURAHISHWA NA UWEPO WA SACCOS MAKAZINI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akimsikiliza Mshauri Mkuu na Mlezi wa Ikulu SACCOS Bw Joseph Sanga (wa pili kulia) akimuelezea mikakati ya ushirika huo wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi kitabu chake cha uanachama wa ushirika huo Ikulu Dar es salaam. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Ikulu SACCOS, Bw. Deodatus Gaudio, akifuatiwa na Katibu wake Bw. Benedicto Damiano na kulia ni Mtunza Hazina Bi. Judith Medson.Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea kitabu...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ATOA USHAURI KWA KATIBU MKUU KIONGOZI KUWASIMAMISHA MARA MOJA VIONGOZI WALIOTAJWA KWENYE SAKATA LA ESCROW .

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa amebeba maji kwenye madumu aliposhiriki umwagiliaji maji katika shamba la nyanya la vijana wajasiriamali wa CCM katika Kijiji cha Nkulabi, Kata ya Mpunguzi, Jimbo la Dodoma Mjini leo wakati wa ziara yake,Kinana yupo mkoani Dodoma kwa ziara ya siku tisa ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi, kuimarisha uhai wa chama na kusikiliza kero za wananchi pamoja na kuzitafutia ufumbuzi.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimwagilia maji zao la...

 

11 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Kiongozi akutana na Balozi wa Finland Ikulu

f1

Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antilla alipokutana naye Ikulu Dar es salaam jana Mei 27, 2014.

Balozi Antila ndiye Mwenyekiti wa Kundi la Nchi 12 Washirika wa Maendeleo zinazosaidia bajeti ya Tanzania (General Budget Support Group), na amechukua nafasi hiyo tangu mwezi April mwaka huu.

Lengo la Balozi Antila  kuonana na Katibu Mkuu Kiongozi ni kujitambulisha kwa wadhifa huo mpya na kueleza jinsi atavyotekeleza jukumu...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Sefue akutana na Mabalozi ikulu

 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akikutana na mabalozi wa nchi za nje na wakuu wa mashirika ya kimataifa yaliyo chini ya Umoja wa Mataifa Ikulu jijini Dar es Salaam leo Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea  na mabalozi wa nchi za nje na wakuu wa mashirika ya kimataifa yaliyochini ya Umoja wa Mataifa ikulu jijini Dar es Salaam leoKatibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisikiliza hoja za mabalozi wa nchi za nje na wakuu wa mashirika ya kimataifa yaliyochini ya Umoja wa...

 

9 years ago

Michuzi

RIDHIWANI KIKWETE ATETA NA KATIBU MKUU KIONGOZI,OMBENI SEFUE IKULU

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wakati wa hafla ya Rais Dk John Magufuli kuwaapisha Mawaziri waliokuwa wamesalia Ikulu, Dar es Salaam leo.Ridhiwani pia alipata wasaa wa kujadiliana mambo mbalimbali na kiongozi huyo wa watumishi wa Serikali. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA.

 

10 years ago

Michuzi

SACCOS YA WALIMU MOSHI VIJIJINI WAPATA VIONGOZI WAPYA WA BODI

Mwenyekiti wa Bodi ya Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini,Godlisten Kombe akizungumza wakati wamkutano maalumu wa uchaguzi wa viongozi wa Saccos hiyo pamoja na wajumbe wa bodi.Baadhi ya wanachama wa Saccos ya walimu wilaya ya Moshi vijijini wakiwa katika mktano huo uliofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara (MUCO).
Secretariety ya mkutano huo wakihesabu kura kwa ajili ya kupata washindi katika uchaguzi huo ambapo Godlisten Kombe alifanikiwa kutetea kiti chake baada...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA RASMI MKUTANO MKUU WA TATU WA TPS SACCOS Ltd LEO, MKOANI MOROGORO

 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Bw. Mbarak Abdulwakil akisoma Hotuba ya Ufunguzi wa  Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo februari 24, 2015unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro.  Maafisa wa Jeshi la Magereza wenye vyeo mbalimbali ambao ni Wanachama wa TPS SACCOS Ltd kutoka Mikoa yote Tanzania Bara wakisikiliza hotuba ya Mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa tatu wa TPS SACCOS Ltd leo februari 24, 2015 unaofanyika kwa siku mbili katika Hoteli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani