KATIBU MKUU KIONGOZI AFURAHISHWA NA UWEPO WA SACCOS MAKAZINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-MGHVUHAzLFs/VPbkrpELQgI/AAAAAAAHHi0/21fimb8AMHw/s72-c/s1.jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) akimsikiliza Mshauri Mkuu na Mlezi wa Ikulu SACCOS Bw Joseph Sanga (wa pili kulia) akimuelezea mikakati ya ushirika huo wakati wa hafla fupi ya kumkabidhi kitabu chake cha uanachama wa ushirika huo Ikulu Dar es salaam. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Ikulu SACCOS, Bw. Deodatus Gaudio, akifuatiwa na Katibu wake Bw. Benedicto Damiano na kulia ni Mtunza Hazina Bi. Judith Medson.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea kitabu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-kvaB8NyngNM/UwtSapZhYfI/AAAAAAAFPQo/aFes58qOeUg/s72-c/unnamed+(23).jpg)
Viongozi wapya wa Ikulu SACCOS Wakabidhi Ripoty ya Utendaji kwa Katibu mkuu kiongozi
![](http://1.bp.blogspot.com/-kvaB8NyngNM/UwtSapZhYfI/AAAAAAAFPQo/aFes58qOeUg/s1600/unnamed+(23).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-AMigncMpgxU/UwtSaij3VOI/AAAAAAAFPQk/6_UCfKMK1wM/s1600/unnamed+(22).jpg)
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA RASMI MKUTANO MKUU WA TATU WA TPS SACCOS Ltd LEO, MKOANI MOROGORO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-t5y4kRSdAKs/Vcs8ndyfwVI/AAAAAAAHwNw/ywQE-WPQgMI/s72-c/images.jpg)
KATIBU MKUU KIONGOZI KUFUNGUA MICHEZO YA SHIMIWI 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-t5y4kRSdAKs/Vcs8ndyfwVI/AAAAAAAHwNw/ywQE-WPQgMI/s1600/images.jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michezo ya Wizara, Idara zinazojitegemea ,Wakala wa Serikali na Ofisi za wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) itakayoanza Jumamosi ijayo(15.8.2015) mjini Morogoro.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Katibu Mkuu SHIMIWI Moshi Makuka, mashindano ya mwaka huu yatafanyika kwa wiki mbili.
Amesema kuwa siku ya...
11 years ago
Dewji Blog28 May
Katibu Mkuu Kiongozi akutana na Balozi wa Finland Ikulu
Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Finland nchini Mhe Sinikka Antilla alipokutana naye Ikulu Dar es salaam jana Mei 27, 2014.
Balozi Antila ndiye Mwenyekiti wa Kundi la Nchi 12 Washirika wa Maendeleo zinazosaidia bajeti ya Tanzania (General Budget Support Group), na amechukua nafasi hiyo tangu mwezi April mwaka huu.
Lengo la Balozi Antila kuonana na Katibu Mkuu Kiongozi ni kujitambulisha kwa wadhifa huo mpya na kueleza jinsi atavyotekeleza jukumu...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LcpKiN2p_uo/VK7nrO5ErnI/AAAAAAAG8G8/IJRcdcU58TQ/s72-c/unnamed%2B(44).jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Sefue akutana na Mabalozi ikulu
![](http://2.bp.blogspot.com/-LcpKiN2p_uo/VK7nrO5ErnI/AAAAAAAG8G8/IJRcdcU58TQ/s1600/unnamed%2B(44).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gWHSsGyTGQo/VK7nrKFrjQI/AAAAAAAG8HA/D9njmwNWtrc/s1600/unnamed%2B(45).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Glod6D4uzys/VK7nrKMiL4I/AAAAAAAG8HE/ruk1Vmvbkqc/s1600/unnamed%2B(46).jpg)
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI AELIMISHWA KUHUSU UTHAMINI MADINI YA ALMAS
Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ametembelea banda la Wizara ya Nishati na Madini wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na kupata fursa ya kusikiliza maelezo kutoka kwa wataalam wa Wizara kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa na Wizara ya Nishati na Madini.
Akiwa katika banda la Wizara, Balozi Sefue ameelimishwa namna Kitengo cha...
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Katibu Mkuu Kiongozi amsimamisha kazi ndugu Maswi kupisha uchunguzi!
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi (pichani), Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama ilivyoelekezwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Balozi Sefue amemsimamisha kazi Ndugu Maswi kuanzia leo, Jumanne, Desemba 23, 2014, kwa kutumia madaraka aliyonayo kama Mamlaka ya Nidhamu kwa Watumishi wa Umma wanaoteuliwa na Rais, wakiwemo...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU KIONGOZI,BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'CAG'