Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wataka uuzwaji hisa Benki ya Walimu usitishwe

BAADHI ya walimu katika wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza wametaka utaratibu wa kuuziwa hisa katika Benki ya Walimu inayotarajia kuanzishwa Julai, mwaka huu usitishwe.

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua  uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa  hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika   jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akiteta na baadhi ya Viongozi...

 

10 years ago

GPL

UUZAJI HISA BENKI YA WALIMU WAZINDULIWA RASMI

Rais wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba (wa kwanza kushoto), Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (kulia), Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Kassim Majaliwa wakiketi. Rais wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba akizungumza jambo katika hafla hiyo.
Sehemu ya wageni…

 

10 years ago

GPL

NUNUA HISA ZA BENKI TARAJIWA YA WALIMU KUPITIA VODACOM M-PESA SASA

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia (katikati),akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawamo pichani) wakati wa kutangaza ushirikiano wa kimkakati na Benki Tarajiwa ya Walimu (Mwalimu Commercial Bank in-formation) kurahisisha ununuaji hisa kupitia huduma ya M-Pesa pamoja na kampuni ya Maxcom Africa kupitia huduma yake ya Maxmalipo, Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Ronald...

 

9 years ago

Mwananchi

Benki ya Walimu yachangia ongezeko la mauzo ya hisa DSE kufikia Sh1 trilioni

Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeongeza mauzo kutoka Sh383 bilioni mwaka 2014 hadi Sh1 trilioni moja kwa mwaka jana, huku Benki ya Walimu ikichangia ongezeko hilo.

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu aipongeza benki ya walimu kujiorodhesha katika Soko la hisa la Dar es salaam -DSE

 Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi wa kujiunga kwa Benki ya Walimu katika Soko la Mitaji Dar es Salaam mwishoni mwa wikiWaziri Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa amekipongeza chama cha Walimu Tanzania kwa kujiorodhesha katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kupitia benki ya chama hicho kwa ajili ya kuendeleza mtaji wake na kukuza kipato cha wanachama wake.Waziri Mkuu alitoa pongezi hizo alipokuwa akizindua rasmi hatua ya benki hiyo, Mwalimu...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu, DC wataka Bunge Maalum liombewe

WALIMU wilayani Kibaha mkoani Pwani, wameaomba wananchi kuwaombea wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba ili waweze kupitisha Katiba yenye maslahi kwa wananchi. Walieleza kuwa Katiba nzuri na yenye maslahi kwa wananchi, itasaidia kufanya nchi kuendelea kuwa na amani.

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Selemani Jafo ameutaka uongozi mpya wa Tume ya Utumishi wa Walimu kutatua changamoto za walimu ili kuwatia moyo katika kutimiza majukumu yao.

Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .

Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.

Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani