Walimu, DC wataka Bunge Maalum liombewe
WALIMU wilayani Kibaha mkoani Pwani, wameaomba wananchi kuwaombea wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba ili waweze kupitisha Katiba yenye maslahi kwa wananchi. Walieleza kuwa Katiba nzuri na yenye maslahi kwa wananchi, itasaidia kufanya nchi kuendelea kuwa na amani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Aug
Wanafunzi wataka mwafaka Bunge Maalum
MTANDAO wa Wanafunzi Nchini (TSNP) umewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuondoa tofauti zao na kuridhiana kupata Katiba bora badala ya kuoneshana ubabe.
11 years ago
Tanzania Daima06 Apr
Makinda ataka Bunge la Katiba liombewe
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amewaomba Watanzania kuliombea Bunge Maalumu la Katiba kwa kuwa lipo kwenye hali mbaya. Makinda alisema hayo mjini Dodoma jana wakati wa kutoa salamu katika ibada...
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Michuzi05 Aug
11 years ago
Habarileo26 Feb
Wataka uuzwaji hisa Benki ya Walimu usitishwe
BAADHI ya walimu katika wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza wametaka utaratibu wa kuuziwa hisa katika Benki ya Walimu inayotarajia kuanzishwa Julai, mwaka huu usitishwe.
11 years ago
Habarileo14 Mar
Makundi maalum wataka kujua aina ya Muungano
WAKATI Bunge la Katiba linajiandaa kuanza kuichambua rasimu ya Katiba mpya wiki ijayo, wajumbe wanaowakilisha makundi maalumu wametaka mjadala wa kwanza, iwe sura ya kwanza na sura sita ya rasimu hiyo ili makundi hayo yaweze kujua hatma ya mambo wanayoyadai yako sehemu ipi ya Muungano.