MAELEZO YA MWENYEKITI WA KAMATI YA KANUNI NA HAKI ZA BUNGE MAALUM, MHESHIMIWA PANDU AMEIR KIFICHO (MJ.), KWA AJILI YA KUWASILISHA AZIMIO LA KUFANYA MAREKEBISHO YA KANUNI ZA BUNGE MAALUM
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMhe.Pandu Ameir Kificho ndiye Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba.
Bunge Maalumu la Katiba limemchagua Mhe. Pandu Ameir Kificho (pichani) kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba. Katika uchaguzi wa nafasi hiyo uliofanyika kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Mh.Kificho ameshinda kwa Kura 393 sawa na Asilimia 69.Washindani wengine, Bi.Magret na Mhe.Mahalu wamepata Kura 84 kila mmoja sawa na Asilimia 15.79%. Akitangaza matokeo hayo Katibu wa Bunge Dk Thomas Kashililah alisema Mhe. Kificho ameshinda baada ya kupata kura 393 sawa na 69.19% ya kura 558...
11 years ago
Michuzi27 Feb
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Pandu achaguliwa mwenyekiti wa muda #Bunge Maalum la Katiba
Spika wa Bunge la Wawakilishi Zanzibar na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba, Pandu Amir Kificho  amechaguliwa na wajumbe wa Bunge hilo kuwa Mwenyekiti wa muda.
11 years ago
Michuzi18 Mar
11 years ago
Habarileo19 Feb
Kificho Mwenyekiti wa muda Bunge Maalum la Katiba
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania